MEDITATION by BABU BIDABIDA.
MEDITATION ========== Meditation: Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia kama ikitokea utashindwa kusoma ukaisi uvivu basi nenda katika youtube chanel yangu ya babu bidabida online tv basi utasikiliza na kujifunza kwa uwangalifu sana pasi na shaka. Chimbuko/historia ya meditation: Babu bidabida anasema neno likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo limetokana na neno la kilatini linaloitwa 'meditatio' likiwa na maana ya mazoezi ya mwili na akili. Asili ya meditation ni dini za mashariki. Ilianzia huko Asia zaidi ya miaka 5,000 iliyopita. Kwa sasa meditation hufanywa zaidi huko magharibi (Ulaya na Marekani). meditation ya miaka hii (ya wakati huu), inazungumzia zaidi meditation ya kiyoga ambayo asili yake ni huko India. Kwa ujumla,meditation inaelezwa kama njia za uzingativu katika jambo ambalo mawazo yamelinuia. Lakini pia inaweza kuelezwa kama ifuatavyo: => Ni hali ya uzingativu na utulivu katika hali halisi ya waka