Posts

Showing posts from August, 2021

MLANGO WA BIASHARA

Image
  *MLANGO WA BIASHARA* Andika huu waqfu baada ya sala ya ijumaa kisha weka katika sehemu yako ya biashara. Kwahakika wateja watakuja kwa wingi hata kama kulikuwa na kofuri inshaallah. Somo hili limeandikwa na kutolewa na babu bidabida.

MLANGO WA FARAKA

Image
  MLANGO WA FARAKA Ukitaka watu wawili wafarakane iwe ni haramu kwao basi fanya hivi chora talasimu hii (photo copy), kisha kwenye paji la uso wa jinni huyu andika jina la mhusika mmoja na jina la mzazi wake na chini ya mapaja yaani baina ya paja la huku na la huku hapo kati weka na jina la mmoja wao tena na la mzazi wake na baada ya hapo talasimu hii inachomwa moto iwe aiku ya jumanne saa moja asubui au saa nane mchana au saa tatu usiku. Kabla ya hapo ifushe kwa miat saira au unga wa mmavimavi huku ukiwa unanuia mambo mabaya ya kufarakanisha baina ya hao watu wawili kisha ndio uchome moto. NB. Hii ni shiriki kama ukifanya kwa ubaya mimi sipo. Somo hili limeandikwa na kutolewa na babu bidabida.