Posts

MLANGO WA BIASHARA

Image
  *MLANGO WA BIASHARA* Andika huu waqfu baada ya sala ya ijumaa kisha weka katika sehemu yako ya biashara. Kwahakika wateja watakuja kwa wingi hata kama kulikuwa na kofuri inshaallah. Somo hili limeandikwa na kutolewa na babu bidabida.

MLANGO WA FARAKA

Image
  MLANGO WA FARAKA Ukitaka watu wawili wafarakane iwe ni haramu kwao basi fanya hivi chora talasimu hii (photo copy), kisha kwenye paji la uso wa jinni huyu andika jina la mhusika mmoja na jina la mzazi wake na chini ya mapaja yaani baina ya paja la huku na la huku hapo kati weka na jina la mmoja wao tena na la mzazi wake na baada ya hapo talasimu hii inachomwa moto iwe aiku ya jumanne saa moja asubui au saa nane mchana au saa tatu usiku. Kabla ya hapo ifushe kwa miat saira au unga wa mmavimavi huku ukiwa unanuia mambo mabaya ya kufarakanisha baina ya hao watu wawili kisha ndio uchome moto. NB. Hii ni shiriki kama ukifanya kwa ubaya mimi sipo. Somo hili limeandikwa na kutolewa na babu bidabida.

DUA YA JUMJUMIYA

 NA HII NDIO DUA YA JUMJUMIYA. بس الله الرحمن الرحيم اللهم إني أجت وأجهزت وأجهزت لهذا الجمع يتجرعه ولا يكاد يسيغه ويايه الموت من كل مكان وما هو ميت وين وائه عذاب غليظ ، اللهم إني أسألك بالمجمعة وبأسماء الله القوية قيم المبلة ألم تر إلى الذين خرجوا من ديارهم وهم ألوف حذر الموت فقال لهم الله مؤثوا وترابهم الهندية واليهم الشرونية وتحدثهم المبلة ، " واتل عليهم نبأ ابني آدم بالحق إذ قبا قبائا فتقبل من أحدهما ولم يتقبل من الآخر قال لا قتلك قال إنما تقبل الله من المقين ، بين بسطت إلى يدك لتقليني ما أنا بباسط يدي إليك الأقل إني أخاف الله رب العالمين ، إلي أريد أن تبوءا بإثمي وإثيك فتكون من أصحاب النار وذالك جراء الظالمين قطوعت له ته قتل أخيه فقتله فأصبح من الخاسرين ، فبعث الله غرابا يبحث في الأرض ليريه كيف يواري سوأة أخيه فأصبح من التامين ، من أجل ذالك كتبنا على بني إشرآئيل أن من قتل نفسا بغير نفس أو فاير في الأرض فكأنما قتل الناس جميعا ومن أحياها فكأنما أحيا الناس جميعا ، ولقد جا هم شنا بالبينات ثم إن كبيرا منهم بعد ذالك في الأرض لمشرفون يا ځيؤم مملؤم كاشي حاج ملاردو زغرعة طططط گھا اللهم

MLANGO WA MAHABA

Image
  *MLANGO WA MAHABA* Ukiandika neno hili katika ngozi za korodani zako na ukabahatika kumuingilia mwanamke unaempenda kutoka moyoni, kwa hakika mtu huyo hatoweza kukuacha mpaka mnaingia kabulini hata kama mkigombani mpaka kufikia kutupiana vitu nje hatoweza kuondoka abadani.  *Itumie vizuri kwani hii ni hatari* Somo hili limetolewa na babu bidabida  +255765458910

Kitabu cha MWAKUYONGA.

Image
  *kitabu cha  MWAKUYONGA* *YALIYOMO*……………….1.Utangulizi wa muandishi…… 2.Usia wa mwandishi…………..3.Kuvuruga kinga ya adui………4.kumchapa adui yako[mwizi]...... 5.Kuuwa nguvu za mwizi wa kichawi…… 6.Kuharibu mali za adui yako…….. 7.Kulipiza kisasi[mwakuyonga]………8.Kumuazibu mwizi alie kuibia…….. 9.Kumtesa mwizi/adui yako……….. 10.Jinsi ya kufarakanisha ngome…….. 11.Kumchapa mwizi kichaa cha kudum…… 12.Kumdhuru adui anae kusumbua sana…….13.kuwaona majini na kuwa tuma kazi…… 14.Kumtia mtu maradhi unayo yataka……. 16.Faraka ya kutenganisha kitu haram…… 17.Kurudisha kitu kilicho ibiwa…….. 18.Jinsi ya kuweka tego za aina 3…….. 19.Opo la kutengua vitu vyote hivyo…… 20.Opo la kutengua uchawi ulio mfanyia mtu..21.HITIMISHO…………………… Kitabu hichi bei yake ni elfu  40,000/=Tshs ni sawa na 1,870/=Kshs ni sawa na 18$. Offer ya mwana group la babu bidabida kuanzia group 1-3 utalipia elfu 35,000/Tshs. Utajipatia copy yako safi kabisa.

ULIMWENGU WA TALASIMU no2

Image
  *ULIMWENGU WA TALASIMU NO2* *YALIYOMO………….UKURASA*:1.Utangulizi……….4-5-6 2.Mlango wa mapenzi no1…6-7 3.Kufungua vifungo kwa kutumia ayat kurusi…7-8 4.Milango ya mapenzi 7...9-10-21 5.Njia ya kukubalika katika kazi zako……21-22 6.Talasim la kutongozea wanawake/wanaume..23 7.Kumtupia mtu uchawi…24-25 8.Kumuangamiza adui…….25-26-27 9.Jinsi ya kufunga mwizi mkojo…….28 10.Kinga ya mapenzi……...29-30 11.Namna ya kufarakanisha…..30-31 12.Kupata upendo……..32-33 13.Ukitaka akupende sana mtu misiri ya kichaa..34 14.Kumuharibia adui yako maisha yake..35 15.Kufunga ndimi za watu………..36 16.Talasimu ya kukidhiwa shida zako zote….37-38 17.Talasimu ya kumuua jinni mchafu mwilini…39 18.Hifadhi na kinga kubwa ..40-41 19.Talasimu ya kutibu maradhi…..42 20.Talasimu ya kukata gogo{hatari}…….43-44 21.Talasim ya uchawi[zohar]…….45-46 22.HITIMISHO…………..47-49. KITABU HIKI NI TOLEO LA PILI KILICHO JAA MAMBO MENGI MAZITO YA KHERY NA SHARI MTUNZI; BABU BIDABIDA. KITABU HIKI UTAKIPATA KWA GARAMA YA ELFU 30,000/=Ts

MLANGO WA NDOA

Image
 *MLANGO WA NDOA* Ikiwa manamke umekaa nyumbani sana na ujaolewa mpaka una zee kea nyumbani basi fanya hivi,  chukua peni andika talasimu hii X7 katika karatasi nyeupe kisha karatasi hiyo isomee inaanzarnahu x41 kama unaweza.  Kisha itundike mlangoni kwenu kwa hakika wanaume wenye kutaka kuowa watajitokeza kukuchumbia inahaallah. Somo hili limeandikwa na babu bidabida.