RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA
*RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA*
Hii ni talasim la mapenzi andika khatima hii katika karatasi nyeupe3, sehemu ya kwanza hapo kwenye mstali mwekundu ni pahala pa kuweka jina lako na la mama yako na hapo mstali wa pili wa njano ni pahala pa kuweka jina la mpenzi wako unae mkusudia kumfanyia hivi hata kama yupo mbali hii itamfanya huyo mtu arudiahe mapenzi baina yako na yake ukisba maliza sasa hizokaratasu fanya hivi
1 karatasi hii nenda ukaiweke chini ya jiwe kubwa.
2 nyengine kachome moto uibadilishe iwe majivu na majivu hayo ya mwage ktk upepo.
3kaitupe ktk maji yanayo tembea.
Hii zingatia sana kabla ya hapo ukiandaa tu iwe siku ya ijumaa na uisomee BARAHATIx2, KARIRIx2, TATIRIHx2, soma mara 113 huku ukiwa unaifusha ubani msafi mweupe or zuhura baada ya hapo ndio upeleke sehemu hizo3.
Somo hili limeandikwa na kuandaliwa na babu bidabida mtalaam wa tiba za asili tanzania wasiliana nae kwa simu namba +255765458910.
Comments
Post a Comment