NDERE NI NINI?
Ndere - Ni rugha inayotoka mkoa wa tanga, Ni mkusanyiko wa dawa za mivuto ambazo zilizo kusanywa na kuwekwa pamoja ambazo ndizo zilizo pewa jina la ndere. Neno ndere- limekuwa maarufu tanzania na africa mashariki kiujumla kwa kutokana na sifa zake huko mitaani zinazo vuma. Neno ndere ni neno lililo kusanya rugha ya makabila yote ya mkoa wa tanga na kenya Mfano wa makabila hayo ni KISEGEJU, KISAMBAA, KIDIGO, KIDURUMA, KITAITA nk... Ndere- ni kama tulivyo sema hapo awali ni miti pamoja na vizimba ambayo kwa imani ya watu wa tanga tangu enzi za mababu na mabibi zikiwa zinatumiwa miti hiyo na vizimba kama ni mvuto. Vizimba ni nini? Vizimba - Ni vitu hadimu kupatikana katika maswala ya tiba za asili mfano wa vizimba zikiwemo ngozi za wanyama aina zote, miti, pamoja na vitu baadhi ambavyo utakavyo agizwa na mganga kuvipata ni kwa ugumu sana hivyo ndio vizimba. (Mfano mvupi mganga atakuambia kwa hiyo shida yako inatakiwa upate fundiro ya fungo ndio utapona, sasa hiyo fundiro ndio kizimb