NDERE NI NINI?
Ndere - Ni rugha inayotoka mkoa wa tanga, Ni mkusanyiko wa dawa za mivuto ambazo zilizo kusanywa na kuwekwa pamoja ambazo ndizo zilizo pewa jina la ndere.
Neno ndere- limekuwa maarufu tanzania na africa mashariki kiujumla kwa kutokana na sifa zake huko mitaani zinazo vuma.
Neno ndere ni neno lililo kusanya rugha ya makabila yote ya mkoa wa tanga na kenya
Mfano wa makabila hayo ni KISEGEJU, KISAMBAA, KIDIGO, KIDURUMA, KITAITA nk...
Ndere- ni kama tulivyo sema hapo awali ni miti pamoja na vizimba ambayo kwa imani ya watu wa tanga tangu enzi za mababu na mabibi zikiwa zinatumiwa miti hiyo na vizimba kama ni mvuto.
Vizimba ni nini?
Vizimba - Ni vitu hadimu kupatikana katika maswala ya tiba za asili mfano wa vizimba zikiwemo ngozi za wanyama aina zote, miti, pamoja na vitu baadhi ambavyo utakavyo agizwa na mganga kuvipata ni kwa ugumu sana hivyo ndio vizimba.
(Mfano mvupi mganga atakuambia kwa hiyo shida yako inatakiwa upate fundiro ya fungo ndio utapona, sasa hiyo fundiro ndio kizimba kwanza huta elewa fundiro ni nini mpaka akueleweshe na kama ukielewa kuipata nishida mno mpaka mungu akubariki, sasa utakuta wazee wa kale wa nazo hizo ndio unaenda kuomba wanakuuzia na wewe unakuwa nayo sasa na hapo ndio unaanza safari na siri ya uganga).
Oky! Ndere kama ndere zipo za aina 2
Ya (1) ndere ya unga.
Ndere hii ya unga zipo za aina 2
Ya (1) unga wa kubiganya or kufunda(kusaga).
Na ya (2) unga usira or usembe (kuchoma).
Ndere ya (2) ni ya maji(ni ya mafuta).
Ambayo ndere hii inaifadhiwa kwenye chupa au tunguri (kibuyu).
Na hayo mafuta lazima yawe ya kunukia mfano wa pafyum(au mafuta yoyote yale yenye harufu mzuri puani.
Mpaka hapa ushajua ndere ni nini?
Ndere sio kama unavyo sikia kijiweni kwamba nitaenda kukupiga ndere?
Or nitakuweka kwenye kibuyu ooh!
Au unanitaka au unitaki nikushughurikie kinyumbani?
Na maneno mengi huko mtaani!
Ila fahamu kwamba ndere ni mvuto wa kupendwa na watu wote haijalishi nani wala nini?
Maana kawaida ya ndere (mvuto huu) unashika papo hapo na mvuto huu upo wa aina mbili kuna wa kuchanja katika mwili na wapili upo wakupaka katika mwili ambapo hapa unazalisha na wakujifusha yaani kujifukiza.
Ndere ni dawa, ni miti, ni vizimba vyote kwa pamoja.
Je, unachanja kwa shida gani?
Ndere unaweza iweka mwili mwako kwa ajili ya mvuto kupendwa na maboss, jamaa na malafiki zako, mpenzi, wapenzi, wanawake, wanaume nk
Huu mvuto wapo watu wamezaliwa nao na wapo watu wanautafuta.
Hapa hakuna utofauti kama hawa dada zetu wanao jichubua kuna weusi wanao taka uweupe na kuna weupe wanao taka kujiongezea. (Naimani kwa kutumia msamiati huu utakuwa umenielewa na manisha nini?).
Sasa basi ndere hizi zipo nyingi sana na niza kweli hazi bahatishi kama utampata mganga wa kweli.
Je, hizo ndere ni zipi?
Kuna baadhi ya majina ya ndere mfano ndere ya MWALI MPENDWA, MZUTWI, FUNDI MWITA, MPESA PESA, KAUJWAAH, nk
Mfano wa hii ndere or tunguli ya ndere ya KAUJWAAH!
Hii ni ndere ya kabila la kisegeju ambayo inatumika kwa kupendwa na watu wa jinsia tofauti na wewe mfano mwanamke anataka apendwe na wanaume yaani kwa rugha ya vijana ni mdangaji, basi hii ndio barabara.
Lakini pia mwanaume anataka apendwe na wanawake tu kila aendapo asemi x2 wanawake hao basi hii ndio babu kubwa.
Pia kuna hii ndere ya MWALI MPENDWAAH!
Hii ni ndere ya kabila la kisambaa ambayo kazi yake ni kupendwa na watu haijalishi ni akina nani wala jinsia gani?
Ambayo hii utapendwa sana nawatu.
Fahamu kwamba hakuna ndere ya milele.!!
Na kuna hii ndere ya MPESA PESA!
Ambayo asili yake ni kabila la KIDIGO.
Inatumika katika maswala ya pesa, mali, umaarufu, kuheshimika nk....
Famahu fika kila ndere inakabila lake huko tanga.
Na kuna ndere hazilani na kuna ndere zina lana (yaani kuna ndere zinaweza kukaa katika tunguri moja na kuna ndere ambazo aziwezi kaa katika tunguri moja).
Mpaka hapa utakuwa umejifunza kitu kutoka katika neno hili ulilo kuwa unalisikia sana masikioni mwako kutoka kwa watu marufu na washikaji zako pamoja na marafiki zako hata jamii yako.
Ndere inauaguaji wake na maneno yake katika kuagua mfano ndere lazima uaguliwe na kuku, nazi, mishumaa, nguo nyeupe, kiti, kigoda, unga, mchere, mtama, udi, wembe, na tunguli yenyewe nk
Hivi ni vifaa lazima viusishwe katika maswala ya kuaguliwa ndere ukiona hivi vitu hamna baadhi yake na wala tunguli haina ndimi (mti wake) wala hainenewi maneo juu yako basi hiyo sio ndere utakuwa umetapeliwa.
Ndere lazima mtalaamu anene maneno ya kirugha hususani rugha za kabila za tanga,
Na wala si kwengine.
Na lazima awe ana igonga gonga kwa kutumia ndimi ile tunguli huku ananena maneno usio elewa kama sio muhusika wa hiyo rugha.
Huku akiwa anapuliza katika mdomo wa hiyo tunguli.
Mpaka hapa utakuwa umepata faida kubwa ya nini maana ya ndere na maandalizi yake.
Somo hili limetowela na babu bidabida mtalaam wa tiba za asili african walisiana na mimi
+255765458910 (call/whatsapp).
Ni follow instagram, facebook, twter BABU BIDABIDA.
Youtube natumia BABU BIDABIDA 2 ONLINE TV or BABU BIDABIDA ONLINE TV.
Comments
Post a Comment