MAJABU YA NDIMU
MAJABU YA MDIMU
Huu ni mti wa kipekee wenye kutibu maradhi mengi sana mwilini ila leo nitalezea kiundani na kazi zinazo fanywa na mti huu ki hospital na ki tabibu zaidi maana watu wamekuwa na mazara mengi na hawajui kuwa mdimu ni baraa, kwanza angalia utangulizi na njia zinazo elezea kiundani zaidi ndimu asili yake na kazi yake Ndimu ni matunda ya mndimu (Citrus aurantiifolia), mti wa familia ya michungwa (Rutaceae). Umbo lake ni mduara wenye rangi ya majani mpaka manjano, na kipenyo cha sm 3-6. Zina ladha ya uchachu kwa sababu ya asidi ndani yao. Ndimu mara nyingi hutumika kuongeza ladha kwenye chakula na vinywaji. Kwa kawaida ni ndogo kuliko limau, na chanzo kizuri pia cha vitamini C. Katika kanda za tropiki na nusutropiki mindimu inaweza kumea mwaka wote kama maji yakiwapo. Ndimu ni chungu kidogo kuliko malimau.
Ndimu ni matunda madogo, ambayo ngozi na nyama yake ni kati ya inchi moja au mbili hivi. Ndimu huweza kuwa chungu au tamu. Ndimu chungu huwa kiasi kikubwa cha sukari na asili ya asidi citric kuliko malimao na kuwa na ladha ya asili huku ndimu tamu hukosa asidi ndani yake hivyo kuwa na ladha tamu kweli kweli,
Mti huu una mambo mazito sasa mti huu unatoa vipere uwasho na miziz yake ni dawa ya nguvu za kiume kwa wale wenye matatzo haya hata ya kiwa ya asili lakin hapa utafurahi je ina fanya je kazi kila kipengere maana unatoa walala muwasho mbaa nk, ndimu ni inatumika sana kwenye mapishi na ikikosekana ndimu kwenye mapishi basi huja pika wewe Katika mapishi ndimu huthaminiwa kwa yote , ladha yake ya asidi na harufu yake ya kukoza ni viungo maalumu sana kwa vyakula vya Meksiko, Vietnamu, Thailandi na kusini mashariki mwa Marekani. Zaidi hata majani ya mmea wa ndimu hutumika kwenye mapishi hasa katika nchi za Asia. Majani ya mmea huu hutumika kama dawa pia katika maeneo mengi hasa kusini na mashariki mwa Asia .
Virutubisho kwa gramu 100 (3.5 oz) Nishati 126 kJ (30 kcal) Kabohaidreti 11 g Sukari 1.7 g Makapi 3 g Mafuta 0.2 g Protini 0.7 g Maji 88 g Vitamini C 29 mg (48%) tunajua kuwa history pamoja na kazi na vitu vinavyo patikana humu kwenye ndimu babu nasema kuwa ndimu ni baraa sana kwenye kazi
Katika kutibu ugonjwa wa ngozi, kiseyeye mnamo karne ya 19, serikali ya Uingereza ilihimiza watu wale sana ndimu, hii ni kutokana na kuwa chanzo kizuri cha vitamini C. Pamoja na mafuta maalumu, maji ya limao pia hutoa mchanganyiko unaotumika katika matengenezo ya marashi. Baadhi ya watu hunyunyiza maji ya ndimu kwenye macho yao, kupata uoni mzuri. Huko India hutumika kuwekwa kwenye imani yao kufukuza roho wabaya.
KWa hakika ndimu ina kaI ubwa sana kwenye upande wa nguvu za kiume chemsha miziZi ya ndimu kupata kunywa ujazo wa kikombe cha kahawa kwa muda wa siku 7 unapona oabisa tatizo lako la nguvu za kiume pia majani yake ni fusho kama apo awali babu amesema ni fusho la kufukuza uchawi na majin wabaya wote watokanao na sheitwani (ibilisi).
by babu bidabida nitafutale kwa mawasiliano whatsapp call +255765458910.

Comments
Post a Comment