majabu ya nyani kitiba no1.

MAJABU YA NYANI.

daah leo babu bidabida naleta kionjo hiki lakin kina muendelezo wake na utapata kwenye group langu la kulipia or hapa hapa usitoke kuwa na mimi mpaka mwisho wa masomo yangu,

Hebu tuangalie asili ya nyani kwanza Nyani ni wanyama wa jenasi Papio, Theropithecus na Mandrillus katika familia Cercopithecidae. Jina la “nyani” hutumika pia kumaanisha spishi kubwa zote za Catarrhini (kima wa Dunia ya Kale) pamoja na masokwe. Nyani wa kabila Papionini wanatokea Afrika lakini nyani koti anatokea Uarabuni pia.

Sasa basi kwanza nyani sifa yake anaweza kujiachia hata umbali wa kirometa kazaa za mbali lakin avunjiki wala kuumia kujichuna hajichuni wala nini na tusema ndio ushukuaji wake mkubwa kwenye mti lazima ajiachie pindi wakiwa wanakimbizana ,
     Nyani usiku wa mbalamwezi kwanza hana historia ya kunya na mavi yake kuyadoshosha chini lazima aweke mkono na kinyesi anapakaza kwenye ule mti na ndio miaka yake yote ,
       Nyani kwanza anaogopa kioo pamoja na kivuli chake kwa akiona anapagawa na analia sana kwa masikitiko makubwa .
    Nyani mwenziwao akifa lazima nyani fulani atakaa eda na lazima watauzunika sana na hata kulia kama kuna msiba wa kibina damu na wanyama hawa hawana tifauti na binadam Ka sifa yao tunda au asilimia ya vyakula anavyo kula nyani basi bina damu unaweza kula na wala usizurike na chakula ambacho hali nyani pia na wew ukijifanya kula basi utazurika kwani spshi zao hazina tofaut na za bina damu hata sayansi unasema kuwa binadam wa kwanza ni nyani mkubwa🤦‍♂
       Nyani manyoya yake hutumika kwenye mfarakano hata mavi yake kwani ukichukua mayoya ya nyani,manyoya ya simba manyoa ya pakaa manyoya panya magadi altiti miat saira mvuje kitim timu basi utakapo kuwa unachoma ukiwa umechamganya pamoja vitu hivi siku ya juma nne inauwezo wa kufarakanisha kikundi cha watu 111 ndani ya siku 4 yaan ukichoma jumanne saa moja kamili asubui mpaka jumamosi saa moja kamili asubui majibu yako lazima uyapate kuwa lazima wafarakane maadui zako wanao kusema vibaya eewe mnya muogope mungu kwani utumie kwa haki na makosa makubwa mfaraka huu na usitumike kwa wapumbavu mimi simo kwenye hujuma hiyo .
      Nyani kama nyan kaz yake hutumika katika kuweka zindiko la mwili kwa wale madeleva wa masafa malefu hata ukipinduka basi hutoweza kuumia wala kuvunjika na ajali kubwa wewe haziwezi kukuingia kamwe na abadani ukichukua kifua cha nyani ngoz yake na ukachukua bua la mtama ukachukua mti unao itwa mzindika wachawi mti huu sifa yake hauna majani wala shina wala nini na unazaa mbegu na mti huu unakuwa mkubwa sana na unaoenda kuota sehemu za wazi sana pia ukimchukua ndege aina ya shorwee ndege huyu sana sana anapatikana mkoa wapwani yeye pamoja na bada lake na sifa ya ndege huyu anaweza kujenga hata kwenye mlango wako na usiweze baatika kuliona banda lake maana huyu ndege hutumika kwenye kinga za kumficha mtu kuingia pahala pasipo kuonekana kwa macho ya kawaida na kinga hii inawafaa maasikali au wafanyakazi wale waserikal or nchi zenye vita na misuko suko kama misiri huko nk N ukachamganya na vitu furani vya miti basi ukichanjiwa pahala furani hutoweza kuumia wala kudondoka pahala na kutokwa damu yaan utadondoka kama bua la mtama kwa hakika hii dawa ni hatari sana .
     nyani hutumika katika kazi nyingi za mazindiko
Mtego ya kwenda kuiba mazao shambani pia hutumika kwenda kuharibu mazao ya mtu shambani nk
       Mnyama huyu hutumika san san kwenye dawa za kunjanja ukichanganya na kisigino cha tembo basi ukimpiga mtu ngumi mmoja tuu lazima kama sio kufaa basi arudi tena yaan wewe unaweza ukamuachia mpinzani wako akudunde lakini wew ukimruhusu mmoja tuu ikamfika kwenye mwili wake basi shughuri hakuna 🤦‍♂ hapa sifundishi maana itakuwa tabu .
             Nyani waweza kumfuga na ukamtuma utakavyo pia na akafanya.
          Nyani unaweza kumtengeneza na akawa zindiko au tego la kumkamata mchawi na mwizi au hata ukamtengeneza na kuwa na akili za binadamu na akafanya mambo madogo madogo yote ya nyumbani .

  MImi naimani nimeelezea kwa kutosha sana na pia nakusihi basi usikose group langu la malipo liitwaro KIBOKO YA TIBA NA DR BABU Amajambo haya utayapata kwa urahisi sana na utapata kujua A-----Z  kila kitu na kujibiwa kwa wakati malipo ni shiringi elfu 5 ya kitanzania ndio kiingilio na kadri ifikapo mwisho wa mwezi basi utakuwa unalipia elfu 2 ya bandoo la mwalimu inshaallah by babu hapa

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA