NJIA ZA KUITA MZIMU

*FAIDA ZA KUMILIKI MZIMU*

mzimu ni roho mfuu inamaana kitu kimekufa na roho yake bado ina khengi khengi (inazurura zurura) ,kuna njia nyingi za kumilikishwa mizimu kwani mizimu ni jamii ya majini lakin hawa wanakuwa ni watu
Kipindi unavyo itaji mzimu hakikisha mwili wako uwe msafi usile chenye roho na kipindi unamuita jitenge na wanawake na wanaume ,vikundi vya watu waso na maana kuangalia mavideo na picha za utupu (uchi)
Kwa muda wa siku 7 na ndani ya siku hizi utakuwa unafanya mazoezi ya kuvuta pumzi kwa wingi sana na kuiyachia pole pole kwa sababu ya kujijengea ujasiri wa siku ya mwisho kukutana nae N siku ya mizimu ni ijuumaa kuamkia juma mosi hakikisha uko smart usiku wa siku hiyo basi utasoma jina la mzimu unae mjua alikufa kipindi yuko mzee na jina la mama yake or babaake na hakikisha chumbani kwako kuna mchoro mkubwa sana chini ya sakafu a pentagram yaa mcholi wa sako kwamba mcholo huu ni wa njota na mbalamwezi ,huu una kazi nyingi sana ila leo wacha nielezee jinsi ya kuita roho za kuzimu ,
Zungushia mishumaa mweupe mwekundu mweusi duara rote yaan kila pembe ya nyota basi kuwe na mshumaa pembe zipo tano na mishumaa itakuwa 5,
    mcholi chola kwa unga wa pemba au chumvi isio na kemikali za viwandani ,   na katikati ya sarco kako andika jina  la mzimu unae muita kisha kaa kitako na kuita kwanza utaraani X9 "audhu birah minashaitwan rajmu"
Na utaita jina lake X16666 na kila ukifika ma 1666 muite mfano "WEW FULANI NAKUITA UKUJE NAKUITA MIMI FULAN UJE UKANIFANYIE KAZI FURANI" nakuita njoo haraka sana njoo na herufi za O "  utasema hivyo na hakikisha muda huo uwandae vitu ambavyo roho kipindi cha uhai wake alikuwa abapenda mfano sigara au pombe or gozo ,labda soda basi utampa vile akiwa sili ndio zawadi zake na pia akija atakuwa na njaa sana kwaiyo utampa mkate na chai ya baridi usimpe chai ya moto ni makosa makubwa sana ,
Na akiitaji zawadi yake sasa ndio utampa kirevi alicho kuwa anapenda pindi za uhai wake ,
     Kisha mutaanza mazungumzo na atakuuliza je unataka nikufanyie nini na wew utasema nakuamuru unifanyie hivi hivi
Mfano .....
1UNIRETEE PESA
2UNIVUTIE WATEJA
3UNIFUNDISHE ELIMU ULIKIWA NAYO WEW.
4UNILETEE MADAWA.

Hapo utajua wew sasa kipi unakitaka sawa na kama marehemu alikiwa mwanamziki basi atakufunza jinsi yeye alivyo kuwa anaimba na nyimbo atakuwa anakitungia yeye na kukudundisha adi uwimbaji wa sauti,au marehemu alikwa tajiri basi atakuelekeza jinsi ya utajiri alivyo upata na wew upite vipi ,au marehemu alikuwa mganga basi atakufunza uganga yaan aisee mzimu ni baraha sana kwenye majambo haya ,
Bsi kuanzia hapo ataanza kazi alizo kiwa mume kubaliana na fahamu watu wengi wanaitaji akin walikiwa hawajui jinsi ya kuipata sasa mimi nimekufahamisha
    HApo na huyu mzimu anakazi nyingi sana tena kulingana na jinsi gani ulie muita  atakupa cheo,pesa,mali,utajiri wa kila aina na kama unamtuma kwa ajili ya safari basi jua ndio kiboko ya safari huyu ila jua kila kitu kina faida na hasara miongoni mwa faida ndio hizo hapo na miongoni mwa hasara kwanza huyu unakaa nae chupambani or kama utambadilisha kuwa paka sawa au kumtengeea chumba chake sawa pia huyu ananguvu sana utamkomandi ili asitishe familia wala nini na huyu utamuona peke yako na simungine pia utakae muita kama alikiwa mwizi basi jiandae kuibiwa nje na kuleta ndani kwaiyo ataiba na atareta ndani mfano pesa ,vitu vya samani nk

Ufafanuzi huu unaupata hapahapa kwa www.BABubidabida.Blogspot.Com or tembelea youtube chanell yangu ili kupata masomo haya kindaki ndaki zaidi peluzi na BABU BIDABIDA ONLINE TV   usisahau ku like ,share ,comment na ku subscribe na kubonyeza kikengere kitakqcho jitokeza ili uwe wa kwanza kupata masomo yqngu yote na utajifunza pasipo tabibu yoyote yule 🤲 *EEH MOLA WASAMEHE WAZAZI WANGU WALIO TANGULIA NA UWAWEKE KUNDI MOJA NA MITUME INSHAALLAH*   by babu bidabida mtalaam watiba asili tz call me and whatsapp number on this +255718946668 babu bidabida office or +255765458910 babu bidabida

Comments

  1. Babu wewe nakupanda sana kwako nomás shaa funguka sábana asante

    ReplyDelete
  2. Sasa mbona unaishianjian miminataka unip nambaza whts'ap

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA