ELIMU YA MAJINI HII HAPA....¡¡!!

*ELIMU YA JINI SHIVA*
   unajua kuna watu wanapenda sana ,kuita majini na viumbe lakini hawajui ama atujui jinsi ya kumu hendo jini ipasavyo kwanza kabisa tambua kuna moones hii ni kwaajiri ya kufanya kazi yako vizuri kabsa na katika masiku haya basi jua jini Wako atakuja haraka sana kwanza mwezi ukiwa umechomoza una siku 2,4,6,8,10,12 or 14 kama Salomon anavyo sema ,na hakuana siku nyengine zaidi .
      Mihuri ya wafalme hawa inapaswa kuandikwa katika mzunguki  yaani ndani ya mduala.
    Wafalme wanao tawala katika robo 4za mashariki,magharibi,kaskazini na kusini hawataki kuitwa hovyo hovyo isipokuwa katika matukio makubwa.
   Mzunguko wa pentagramu utakao utumia wewe kushika or kukaa kama unae muita una muita porini unapaswa kuwa na miguu 9 mpaka 10,na majina ya malaika 4yapaswa kuandikwa kuzunguka mduala Wako.
      Hizi ni baadhi tu ya ELIMU ambayo unapaswa kujua jinsi ya waitaji wa majini na sio kila jini eti anatoa utajiri au pesa kwanza tambua ukumuita jini wakike jua ni mapenzi kwasana na vitendo vichache,ukimuita jini wakiume vlmaneno mengi na vitendo vichache na ndio maana wenye ELIMU ya majini huwa wanaenda na mkataba wao ili jini akija atakuta mkataba upo sahihi yaani ujue jini unae muita anakula nini na anataka nini na yupoje kwaiyo kipindi akija utakuwa huna deni lolote lile.
         *MANENO OR KIAPO CHA KUWAITA MAJINI*
     tambua kuwa jini anakiapo chake pindi unavyo muita Sawa utasoma majina furani yapo 24  humu kuna maraika kuna maswahaba kuna majini kuna funguo ya dunia na jini yoyote yule lazima aje kwa maneno hata na kipindi unapo taja majina hayabasi chunga miongoni mwa majina haya wew jinalako lisifanane haya moja kwasababu likifanania hATO kujakiumbe.
    Mfano wa kiapo NAKUITA WEW JINI .....NJOO NJOO NJOO KWANGU NAKUITA UJITOKEZE HARAKA SANA KWA NGUVU ZA MAJINA MATUKUFU ,NA UJE BILA KUSITA NA UJE HATA KAMA UMEFUNGWA NA MINYOLOLO YA CHUMA NJOO NJOO KWAJINA LA ::
    njoo kwa nguvu za mwenyez mungu muumba mbingu na aridhi.
  Njoo kwa nguvu za nabii Adam.
  Njoo kwanguvu za ya koboo.
 Njoo kwanguvu za haruni.
  Njoo kwa nguvu za amathia.
  Njoo kwa nguvu za meshaki na Abednego.
   Njoo kwa nguvu za alpha na OMEGA
  Njoo kwa nguvu za zebaoti.
   Kwaiyo haya majina nimeandika kwaufupi lakini yapo 24 na ukifika mwisho Utasema njoo kwanguvu za mbingu7,
  Njoo kwa nguvu za primeumaton.
  Njoo kwa nguvu za mhuri wa baldachia.
    Kiaha utasema *nakuamuru wew pepo uje haraka sana kwa umbile LA kibinadam na unitii kwa amli ya wakuu Wako unitekelezee mahitaji yangu kwa majina haya 72 ambayo ni .............
      Hapa pepo hawezi kukiuka na kama akikiuka basi jua ni jeuri hapa unapata ngozi ya ndama wa kondoo unamripua moto kwa kumuuwa hapa jini atakuja haraka na akija kwa kuzima moto basi washa manukato mazuri kabsa na atalia sana na kukuomba msamaha na atakutii haraka sana na atakuwa mporee .
  *kuandika hivi nilitaka kuwajuza tu kwa undani kuwa muaipende tyu kutaka kufunzwa kuita majini na sio kila anaeeleza majini majini basi mujue kuwa anaweza wengine ni nqmba D hawa halimu wazoefu wanawajua hawa D .
    *SHIVA* NIjini muangamizaji ,huleta huzuni na hufarakanisha kwa muda mfupi.
   Vipande 3 vya Shiva huwakilisha nguvu za mapenzi,nguvu ya ujuzi na nguvu ya kazi.
    Inamaana ukitaka kuitumia talasimu ya Shiva katika mivuto au kwaajiri ya mapenzi unatakiwa uziunganishe ziwe 3 na uzichole siku ya juma3 saa8 mchana na uichore kwa kutumia damu ya jogoo mwekundu kisha isomee majina Yale nilio wafunza kwenye group langu LA malipo LA KIBOKO ya tiba Yale ya barahatii X21 na uwe nayo mfukoni.
    Faida zake
   •UTAPENDWA SANA NA JAMII.
  •UTAKUMBUKWA NA KUSIFIWA KABLA YA UMAUTI.
  •WATAKUTII KUKUOGOPA NA KUKUHEAHIMU.
 •UTAPENDWA NA WANAWAKE SANA OR WANAUME SANA KULINGANA NA JINSI YAKO.
  •NIMVUTO MZURI SANA WA BIASHARA.
  •KINGA ZIDI YA UCHAWI NA MAJINI WAKOROFI.

   Na pia upande wa kuita MTU utafanya hivyo hivyo kisha utatundika juu ya upepo kwa manuizi pia usisahau kuandika manuizi na jina la mhusika anaeitwa na anae itaa.
 
   Hatimaye kuna amri 5 ,ya Shiva.Shiva miungu zaidi ya njia ya kushoto ni transcendental; SHIVA ni roho ,mungu wa kihindu wa Shiva alizaliwa mapema alikuwa pashupati,mungu wa miungu,Shiva ni nguvu ya kiume.
Hutafsiri nguvu NA inachukuliwa kuwa nguvu ya kike pamoja wao ni archetypes mbili za msingi za anthropomorphic kama ilivyoelezwa katika vitabu vya wahindu huko India na ukisoma vitabu hivyo basi utajifunsa falsafa ya njia Nietzschean na mashariki ,wakati unajitahidi mwenyewe sio kiakili tu,Bali kimwili.
    Shiva ukiichola katika kitambaa cheupe kisha ukakibandika ukutani na ukakifusha UDI wa Shiva na ukaanza kuita miungu huyu wa kiume hakika atakuja na mtafanyaa mazungumzo,hakikisha chumba chako kiwe kisafi na akija mutafunga mkataba inshaallah.
    *JINSI YA KUWAAGA MAJINI ULIO WAITA*
   Ewe roho kwa sababu umejibu kwa bidii sana madai yangu na ulikuwa tayari na nia ya kuja kwenye with wangu wa kwanza nisi kuchoshe sana naomba nikuoe ruhusa ya kuondoka nakuomba uondoke bila madhara yoyote na kunitia hasara na kwa mama nyingine nikikuita njoo haraka sana*
   HUU ni mzunguko na faida tyu ya majini by babu bidabida mtalaam wa Tiba asili tz kwa mawasiliano zaidi +255765458910.

Comments

  1. Ahasante babu,ipo siku nitaonana na wewe insha'aAllah

    ReplyDelete
  2. Asante babu hii naitaka sana ntakutafta

    ReplyDelete
  3. Uko sawa. Hii ni ukweli maana hii elimu ya siri niliwahi kufundishwa katika taasisi moja ya kiroho zamani ila practise sikuwa nafanya.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA