MAJAABU YA UDI WA SHIVAM

NINI MAANA YA SHIVAM??
shivam ni neno la kihindu ambae ni mungu miongoni mwa miungu yao lakin kwa sisi tunaiylta majini miongoni mwamajini wa rugha jini huyu anadoti kwenye paji ra huso pia mkono wake wa kushoto pia kuna doti na shingoni amezungukwa na nyoka na mikononi aina ya cobra nyoka huyo nae ni miongoni mwa majini na kazi yake ni kutoa dawa ya kuweza kushika nyoka bila ya kurumwa sawa eeh.

Je anafaida gani jini huyu wa shivam shivam ndio jin mkuu wa kihingmdu ni mwanamke jini huyu lakin jini wa kiume anaitwa SHIVA kwa hakika ukiwa nao majini hawa unauwezo wa kufanya chochote hapa dunian ila ku kuzingatia mira na desturi na mipakaa ya allah / mwenyezi mungu wetu  wahindu wameamua kuutoa udi huu wa shivam na shiva kwa sababu ya kujua kuwa wahindu ni kiboko na pia kuwasaidia katika ibada na somo hili la kuita majin wakizungu na  kihindu nilisha fundsha kwa wale wakongwe sasa basi unafaida gani ukiuchoma hudi huu
1UNARETA UJASIIRI
2AMANI UPENDO
3MUUNGANO
4MVUTO WA PESA ( hii ni hatari kwa kureta pesa ).
5UWAMINUFU.
6KINGA
7UWONGEZA KUBULI.
 Hizo ni faida za udii huu wa shivam pia udi huu ukichanganya katika dawa zako za mvuto kwa hakika utaifurahia hiyo dawa na itakuwa ya kipekee sana na dunian mfano wake hakuna penda kuchoma kwani inavuta wateja kwenye kiringe duka nk .

MAZARA YAKE ..
udi huu unamadhara pale tu unatapo usisha nauchinjaji yaan ikiwa umepata kaz labda mganga na ukashirikisha udi huu basi baada ya miaka 7 huyu jini wakihindu anajitokeza live na watu wote wanamuona nini chakufanya mpaka umchinjie mbuzi mweupe na uvunje nazi za mdondo 14 ndio anapotea udi huu ukiwa unafanya kisomo chochote ambatanisha kuchoma udi huu uku ukiwa unasoma basi anashuka malaika ISRAFIRI NA majini wake wanao mfaata wote kwenda kupeleka ujumbe kwa m/mungu kwa hile haja yako na utapata majibu papo hapo ni mimi babu bidabida mtaalam watiba asili tanzania.

MANUIZI YAKE

shida zako manuiz "" ENYI WAFLME WA DUNIA YA SASA NA MTAWALA WA MUNGU WA GIZA NA MWANGA MIMI NI MAHAMUMA SINA NILIJUARO BALI LEO HII NIMECHO HUDI HUU KWA UTUKIFU WENU NA NGUVU MULIZO PATIWA NA ALLAH MIMI NINA SHIDA NYINGI NA NAITAJI KUANZIA LEO TUWE MARAFIKI NA KIKUBWA NA KAZI ZENU ZITAKUWA KUNI TATULIA MATATZO YA HAPA NA PALE PIA NA KUNIPATIA KINGA KWENYE MWILI WANGU NAOMBA MUKUBALI KWA ROHO MOJA EEH NYIII SHIVA MFALME NA MALIKIA WAKO SHIVAM NI MAJINI WA KIHINDU WA KALE BAO KAZI YENU KUTOA AMANI NA FURAHA KWA VIUMBE MIMI KWA JINA NAITWA KIJAKAZI FULANI MZALIWA WA FULANI SHIDA YANGU BANA .......FULANI......NA NAITAJI KAZI HII IFANYIKE HARAKA SANA KAMA KUCHA NA KUTWA YAAN USIKU NA MCHANA NA SINA CHAKUKULIPENI BALI NITAKUPENI MIONGONI MUTAKAVYO NIPA NYINYI KWA UWEZO WA MUNGU NA DUA YANGU KUBWA NI KUKUOMBEEN KWA MUNGU MUWE MIONGONI MWA MULIO FAHURU AMINII.kwa hakika manuizi haya hakuna jini, au kiumbe yeyote atakae kiuka maombu haya ONYO
usitoke wala kiteleza manuizi haya ukiwa unataka kufanya kazi hiyo basi manuzi haya katoe copy au yaandike pahala ukiwa umewasha udi anza kusema manuizi haya haya ukipndisha kwa kujiona wewe fundi sana eti ukinifanikisha nitakuoa damu ya mbuz, kondoo 6aan lazima kila mwaka afe mmoja kwenye familia yenu na wote wakiisha wewe ndio wamwisho kufa maana wafalme hawa hawataki ujinga u, USHAURI WA WAGANGA MIMI KAMA MWALIMU NASHAURI WAGANGA MUTUMIE UDI HUU KWANI MIMI UMENINUFAISHA SANA NA NYINYI NAKUOENI ZAWADI HII KWAN ELIMU UTAKAPO TOA NDIO UNAZIDISHIWA QUBURI .NA WEW MFANYA BIASHARA , TUMIA UDI HUU KUITIA WATEJA NA WEWE HAUNA KAZI UMEFUKUZWA KAZI TUMIA UDI HUU KURUDI KAZIN NA WEW UMESIMAMOSHWA KAZI TUMIA UDI HUU UWONE MAAJABU WEWE UNASHIDA YA KUJAZA BOMA BASI TUMIA HII UFAHAMU WA AKILI HUNA TUMIA HUU AKILI KUMBUKUMBU HUNA TUMIA HUU KIKUBWA HAYOCMANUIZI MIMI NIMEKUPEN BUREE.BY BABU BIDABIDA BINGWA WA MATABIBU

Comments

  1. Shivam kuna zenye unga unga kwa ndani na isiyo na unga ipi ni original

    ReplyDelete
  2. Mwalimu bila kufanya kisomo unaeza fukidza udi huu naku ongea mahitaji yako nayakatimia

    ReplyDelete
  3. Mungu akuzidishie baraka nyingi na akurehemu

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA