MAJABU YA SURAT YASINI no1.

MAAJABU YA SURAT YASINI NO1.

Hii ni sura ya albadir dua hii ni kiboko na inafanya kazi zote duniani kasoro kumrudisha Mzee kuwa kijana na kutibu ukimwi lakin maradhisugu mengine yanatibika kwa haraka sana

Nini maana ya yasini ?
Yasini ni Nina ambalo tukufu na katika watoto ama wajukuu wamitume ndio alikuwa akiitwa yaasin pia yasini anasifa kubwa sana na yasini ni surati kubwa yenye maajabu makubwa maana ukitaka kuisoma arbadiri basi utaiyusisha hii sura kama ukiacha mzumguko WA abjade or wasirat safii or kanjir alshi,jaushen kabiri nk hivi ni baadhi ya vitqbu VYA albadir .......kwanza kabisa ndugu msomaji WA nakara zangu hizi ni Mimi babu bidabida unatakiwa use na imani kubwa sana maana Qur'an ni kinga kama utaweza kuitumia vizuri amini kwanza mungu yupo na unapo soma amin  kuwa maraika na majini wema wanafika hapo na wanakuuliza ni nini unataka kutoka kwa mola wako mlezi ,kwaiyo andaa mahali pa kufanyia kazi yako pawe pasafi sana na mavazi yako yawe masafi sana pia nimetanguliza imani kwasababu imani ndio inaongeza qubri yako ,nimesema hivyo kwasababu kuna wengine wanasoma dua cm IPO mkononi anachati ndugu yangu hapo ufanyi kitu na ndio maana kuna wengine wanasema babu mbona Mimi nimeita jini, nimeomba dua ulioitoa lakin wapi mpaka Leo kimya hakika mwanafunz WANGU hakuna unacho kifanya ni sawa unatwanga maji kwenye kinu aisee na japo wapo wengine wanashukuru pindi wanapo ita viumbe na wanafanikiwa inshaallah mungu awaongozeeh ,
Kitu kingine cha kuzingatia katika uaomaji wako nguo ,kama nguo zako ni chafu umejambia jambia mishuzi basi mmh akuna  kitu na utakuta umedhurumu pesa na pesa hike umenunulia nguo au nguo umenunuliwa na hawara wako hata kama umezaa nae basi kama umevaa ndio unasoma  dua yako labda pesa ya riba,hakika iyo nguo uaivae maana dua yako jibriru haipeleki kokote kule nimeelezea kwa ulefu kwasababu ya nia thabiti uwelewe ni Mimi nakimaanisha sawa OK .

 sasa tunaingia kwenye Tiba ya yasini

*KUFUNGUA VIFUNGO VYA KICHAWI*
kama wew umerogwa na usha kula sawa weeh umeoga sawa wee umejifuaha madawa weeh mpaka umekiwa sugu sasa na bila ya mafanikio yoyote Yale jua hili sasa ni kiboko yao kama unaweza Fanya hii or mwambie anae jua kusoma akuaomeeh dua hii alafu utamlipa pesa take ya ubani au kama uwezi kabisa fika ofisini kwangu kwa msaada zaidi WA Tina mbadara

Andaa vitu hivi Chukua Nazi 7 ya kwanza andika Surat aram nashrah kwa kuifarakanisha(kuitenganisha herufi moja moja),
Nazi ya pili andika abjadi kwa kuifarakanisha (hii abjadi inapatikana kwenye juzu amah kabla ya Surat fatiha yeye IPO ukurasa wa nyuma chini ya neno lilio andikwa tamati utaikuta pale imeandikwa hivi ابجد هوز حطى كلمن سعفص قرشت ثخذ ضظغ) hiyo utaandika kwa herufi moja moja sasa ,na Nazi zilizo bakia andika (ا ب ت ث ج ح خ د ز ذ ) mpaka mwisho hii no alfu ya kwanza andika yote kwenye kila Nazi moja .
Kumbuka katika Nazi ulio andika Alam nashrah ukifika aya inayo sema  FAINNAMA AL USIL YUSRA utandika jina la unae umfungua au kama unajifanyia mwenyewe basi andika Nina lako hapo na LA mama yako kisha utaandika aya inayo faata na ukimaliza iyo aya pia unaandika jina lako tena au LA Hugo unae mfungua nuksi za kichawi na majini ,na baada ya kumaliza Kai ya kuandika Nazi utazisomea yasini X6 Mara ya 7 utaisoma kwa vituo kila ukifika MUBINI utasoma alam nashrah X11 kisha unavunja Nazi moja .
Utaanza kuvunja Nazi zingine hadI ukifika mubini ndipo utavunja naI inamaana mubini zipo 7 na Nazi ziwe 7 na Nazi ulio andika Alam nashrah Iwe ya mwisho kuivunja .
Hii hufungua vifungo vyote kwenye mwili ,vizuri zaidi ukitaka kujifungua kwa ufanisi basi unatakiwa ujiokote mwili wako na vitu vyako vitie kwenye nazi hiyo ya ulio andika Alam nashrah kisha uzibe Nazi hito kwa kutumia mshumaa au ntaa .
Na ukitaka kufungua nyumba ,gari,shambq nk basis okota michanga ya eneo husika na utie ndani ya naz kisha vunja kwenye eno husika hii ni Tina na zawadi tosha sana haya ndio maajabi ya yasini lakin yapo mengi sana kama mvuto ,nk Ila Leo nimewapa hiyo kidogo by babu bidabida mtalaam wa Tiba asili tz +255765458910.

Comments

  1. mimi nahitaji sana maanake nala usngizini chakula mate yannijaa kwa mdomo sielewi mimi nina nini

    ReplyDelete
  2. Dhakari ya mme wangu imeingia ndani na kuwa ndogo kabisa. Tusaidie kwa hili

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA