MAJABU YA SURAT YASINI no2.

*MAJABU YA SURAT YASINI no2*

Hii ni dua Kali sana na ni kiboko yao Leo nitaeleza jinsi ya baadhi ya aya za sura hii na inavyo Fanya kazi kindaki ndaki kabisa
      Siku lililo pita nilifunza jinsi ya kujifungua kama na wachawi or majini haya miaka 100 lakin utafunguka kwa siku moja tu teNA kwamara moja tu na ukiwa na imani ya mungu ,...

   Sasa basi jambo LA kwanza ukiitaji *KUZIDISHA BAHATI KWWNYE KAZI ZAKO*
  hii ni njia pekee kabisa maana hii unaIdisha bahati kwenye maisha yako yani wew utakuwa unathaminiwa sana na mabosi na utakuwa unapesa mzuri sana ....
   Katika kikapu chako cha kutunzia pesa kila siku baada ya swala ya alfajir soma aya ya pili Ya Surat ya sini X100 hakika Mali ZAKO zitazidi kwa njia ya ajabu sana na utapendwa na watu na watu wa mji wako na mji wako utakuwa na baraka zi sizo kuwa na mfano.

*JINSI YA KUMTIBU KICHAA*
kama una ndugu yako mule or mkee or haya mteja wako ni anaugonjwa wa akili yaani kichaa basi usisite Tina IPO na anapona kabisa wala shaka haina    Soma aya ya 3 x130 kwa kusomeagonjwa sikioni na nyingine iandike kama kombe tumia zafarani nyekundu or njano andika kwenye karatasi nyeupe awe anakunywa hakika atapona haraka sana hii dua mponesha MTU alie pagawa na akili yaani kuingiwa na majini maiti or mahembe or visiki nk.

   *JINSI YA KUMZIBITI MUME/MKEE OR BOSI*
   Hii ni kiboko ya kufunga jambo kesi or ndoa yako pia inafunga maneno maneno kwa watu tena haraka sana
Soma aya ya tano ya Surat yasiin X40 kila baada ya swala ya arfajiri hakika mume mkee or boss wako watatulia tena watakuwa chini yako kwa kila jambo hii pia inafunga viongozi wakunyenyekee hii ni khatari sana (JIONGEZE).

  *KUONDOA KHOFU YA MAADUI*
 kama kuna watu wanakufata fata mpaka kero na wanakusumbua basi unataka umshinde hiyo hata kama ni mahakamani kessi utashinda haraka sana hata kama awe mnyama basi atakuogopa na atakushindwa basi soma aya ya 6 X111 pia unaweza kuiyandika na ukawa nayo hakika hauta patwa na uwadui wowote ule .

*KUNYENYE KEWA NA WATU*
  Hii ni mujarabu haina shaka Fanya kwani kama wewe unaitaji kuogopwa kunyeyekewa na watu jamii yako inayo kuzunguka kusikilizwa yaani kuwa na qubri use na karama basi andika aya ya 8 na maandishi hayo uyatie katika Pete au SAA or fimbo na uwe NAyo kila pahara hakika utasikilizwa na watakunyenyekea jamii (by babu hapa hii natoa zawadi maana wapo waganga or walimu viongozi hawasikilizwi na watu was basi hii kwa kiongozi inakufaa sana sana hii kwani utasikilizwa sana na watu siri imevuja Leo viongozi kazi kwenu)
.

  *ZINDIKO MCHAWI ASIKUONE*
  hii ni khatari sana babu nasema kuwa kings ni bora kuliko Tiba basi hii ni zawadi kwenu andika aya ya 9 kwa wino mweusi kisha karatasi hiyo iweke ndani ya kijiti cha mbaazi or mti wa mkuyu or mbuyu kisha kisomee haya hiyo hiyo X99 ukiwa umefunga macho hakika mchawi hato kuona tena mpaka unaingia kabulini (hii ufunga haya mdomo wa bunduki ,macho ya majambazi,wezi JIONGEZE).

  *KUOMBEA MAITI ISIPATE ADHABU KABURINI MPAKA AMRI KIAMA KIFIKE*
  hii ni dua kari sana kwani akuna kinacho shindikana dua hii au aya hii inamfanya maiti asiguswe na maraika wa adhabu huko kaburini mpaka kiama kifike hii ni khery ya wazazi wetu sasa basi cha kufanya andika sands yake mtakayo mzikia aya hii ya 36 Allah atampunguzia adhabu za kabri na hato guswa na jini wala malaika wa adhabu .
(Vitu khadimu unavipata kwa babu bidabida pekee hizi ni siri za Allah na wanao fahamu mambo haya ni wacha mungu pekee ila Leo nimewawekea wazi kwaajiri ya kupunguza maaswi ya dunia inshaallah).

  *JINSI YA KUVUTA WATEJA*
     Hii ni baraa katika mivuto mikali basi huu ni kiboko daah unajua ukisema umfikilie mungu utakufuru kwa sababu kila kitu kakiweka bayana tena mmh mpaka unasema hiki nini ila usikate tamaa maana mungu wa muda ndio mungu wa daud na mungu wa issa ndio mungu wa hawa na mungu wa Muhammad s.a.w ndio mungu wetu sisi binadamu wa mungu sasa ya nini upate tabu wakati wana falsafa wapo sasa basi andika aya Hii ya 50 kwa kutumia misk na dhafarani lisha isomer aya hiyo hiyo X75 kisha tundika katika biashara yako au weka unapo tunzia pesa ZAKO mfano kwenye waret,pochi nk
Hii haitaki masihara maana inapiga kwel kwel.

  *KUPATA THAWABU NA BARAKA KUTOKA KWA MASHAHIDI*
   Hii hakika utakuwa na haraka zisizo kuwa na mfano ndugu zangu ifanye huradi aya Hii ya 58 pia aya Hii hufanya wepesi kwa kila jambo utakalo taka kulifanya na hureta baraka tere kwenye mjii wako .

Hakika yasini ni baraa kwanza kama utakaa kumlilia mungu kwa maonevu unayo onewa kila siku basi hakika unajibiwa papo hapo lakini inamshart yake na Hii sio vizuri kuweka hapa wallah maana mutaumizana kwasababu miongoni mwa wasomi Luna wajinga wapo sasa isije akateketeza familia.

Pia kwenye yasini kuna kinga ambayo MTU yoyote atakae taka kukufanyia ubaya akisubutu kufanya basi kajipiga kwenye na Yale manuizi yote yatampiga watotozake pamoja na familia yake yaani atajuta Hii NAyo so haba kuweka hapa kinga Hii ni bora sana.

*KUTIBU MARADHI YOTE YA MWILI*
  kama wew unaumwa na unahisi hali tofauti kwenye mwili wako mfano ubavu unauma,kizungu zungu akikuishi,maumivu ya viungo,homa,kuisi uchovu,kupiga kerer,kichaa yaani Wenda wazimu au matatzo ya akili,uvimbe tumboni kwenye kizaz na mengineyo mengi sana basi chukua karatasi nyeupe na zafarani kisha andika ABJEDI kwa kuifarakaniaha X11 kisha isomee abjedi X313 wakati huo ukiwa umeiloweka kwenye maji na hakikisha kwenye maji use umeweka altiti robot kijiko cha chai ,mvuje kidogo,chumvi mawe kiganja kimoja ujaz wake au basi  kama utapata kimoja wapo tia usijar kisha ndio usome kisomo chako hakika kombe hilo tumia kuoga kwa mtindo wa kujipakaa na kunywa kutwa mara3 kwa muda was siku  7yaani ndani yasiku hizo utakuwa unahisi uchovu ,hari kama ya kupiga kerere ivi ila jizuie na ukimaliza hakika utapona kabisa matatzo yako na kama unauvimbe basi tumia kunywa tu .Hii ni Tina mzuri sana tena zaidi ya sana wala hutumii nguvu na watu wanapona usisahau kuwa uwondo huu unaupata kwa babu bidabida bingwa wa maradhi sugu dunina pia vile vile natibu maradhi mbali mbali ndani na nje ya Tanzania natibu maradhu kama vile......
  1KISUKARI,PRESHA,VIDONDA VYA TUMBO,MIGUU KUUMA KUWAKA MOTO,MATATZO YA AKILI(VICHAA),BAWASIRI,KUFUKUZA MAPEPO AINA ZOTE,LUFUNGUA VIFUNGO VYA KICHAWI,NGUVU ZA KIUME,UZAZI ,UVIMBE TUMBONI,KUPANDISHA NYOTA,KUSAFISHA NYOTA,KUMUITA ALIE MBALI,MIVUTO AINA 7 ZA BIASHARA ,KUTOA NUKS MIKOSI MABARAA,NK
USISAHAU PIA NINA MAFUTA YA AJABU YENYE UWEZO WA KUTIBU MAEADHI YOTE KASORO UZEE NA UHAI PIA NINATOA PETE ZA BAHATI WASILIANA NA MIMI KWA NAMBA ZA CM +255765458910 WHATSAPP/CALL or tembelea blog,http://babu bidabida.blogspot. com pia usikose Nina group LA malipo linalo patikana WhatsApp call me any time linalo itwa *KIBOKO YA TIBA NA DR BABU*
 hili ni khatari sana kwani masomo kwa siku unapata kama yote by babu bidabida hapa....

   *eeweh Allah naomba uwasamehe wazazi wangu madhambi yao huko walipo na uwape mema kama bahari na kila atakae soma na kupata faida Hii basi baomba mungu thawabu ziende kwenye hakika za wazazi wangu amina yarabi araminii*

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA