MAAJABU YA SURAT YASINI NO 3
*MAJABU YA SURAT YASINI NO3*
Yasini bana nimeamini kuwa ni mama na ni baba wa Qur'an tukufuh kwa sababu hakuna kazi isio Fanya aiseeh
Sasa basi nashukuru mungu kwa kuwa nimeamka swalama
Niwape na niwamalizie faida za yasini ....
*KUWA RAZIMISHA WATEJA WAJE KUNUNUA KWAKO BILA KUPENDA WAO*
yasini anauwezo wa kufanya mteja anunue pahala wala ajatarajia mfano utakuta "MTU anaenda kununua kitu duka Fulani alafu kufika maeneo Yale roho ikafanya paah ngoja nikanunue pale kwanza anaenda kununua or MTU anapita tu hana wala nia ya kununua kitu lakin akipita anga za yule kwenye mvuto huu baai utakuta mwenyewe anapinda mkono anaenda kununua". Sasa Hii njia zipo nyingi kwanza kuna za matalasimu na za miti pia kuna za visomo sasa Mimi nitafunza za visomo........
Soma kila siku yasini X3 na Surat waqia X11 baada ya swala ya arfajir dua Hii hifungua liziki kwa kasi sana na ukimudu nayo Hiki kisomo kwa muda wa siku 40 mfululizo hakika utakuwa tajiri wa nafsi na roho yaani utapata liziki kwa kasi kubwa na kwa njia za kustajabisha .dua Hii pia hufungua vifungo vya miaka ,
Pia vile vile kwa anae taka kuoa au kuolewa afste utalatibu huo yaani kikubwa ni nia yake tu hakika Allah atampa mume bora au mke bora maishan mwake.
Dua Hii pia huleta fahamu kwa wanafunzi wa shule au kwa watu wenye tatzo LA kupoteza kumbu kumbu basi basi utakuwa na ufahamu mkubwa na wenye kugundua vitu na utafakali wa hari ya juuh.
Chukua maji safi ya mvua ambayo unetega yaani maji yasio gusa paa ya nyumba bati nk, yasomee Surat hizi X7 kisha MPE any we 1x3 kwa muda wa siku7.
*KUONDOA NUKS,MIKOSI,KIZA CHA MIAKA NA MIAKA,MVUTO WA BIASHARA NA NDOA*
Talasimu Hii 👆👆 kaz zake kama kichaa cha habali kinavyo sema kuwa dua Hii inafunga vifungo ,mikosi,mabalaa,na pia inaondosha maradhi ya amina yoyote Yale kwenye mwili or pahala Fulani .
Kama unaitaji mvuto basi chola talasimu Hii kwanza kisha tumia kuoga kwa mtindo wa kujipakaa kwa muda wa siku 7 kisha ndio utengeneze talasimu za mivuto wapo watu wanalalamika baadhi yao eti kwamba wametumia matalasimu yangu lakin hawakufanikiwa na wengine walio wengi alhamdulila wanaleta mrejesho kwa WhatsApp na kwenye call za kawaida wanapiga wanatuma SMS +255765458910,
Hata kama wew ni tabibu jua wew kila siku unapigwa vita basi uwe mwingi wa kuoga madawa ya hapa na pale ya kujiagua na zohari maana ukimtoa nuks mgonjwa lazima zitabaki kwako chembe chembe je ukiwatibia zaidi ya 9 unazani kwenye mwili wako hujakuwa jalala sasa basi nyie musio fanikiwa na talasimu zangu fata nyiradi hizi kwanza unatakiwa uwandae talasimu hii kama nilivyo sema apo awali ....
Chola talasimu hii kwa wino mwekundu wa zafarani kisha uwizungushie Surat Alan nashrah X3 unakomea panapo sema fainama al usil yusira.
Kisha talasimu hiyo utaisomea Surat yasini X3 .matumizi ni kunywa na kuoga siku7,dua hii inatoa kila kitu kwenye mwili wako ambacho kichafu kuanzia jini mahaba mikuli visiki mahembe nuksi za kila rangi hii inaondoa ni mujarabu sana na maradhi yoyote Yale mwilini pia vile vile ukimaliza kuitumia hivyo iyandae tena kama apo awali kisha itundike kwenye biashara yako na kama wew unataka kuolewa Kuowa basi tumia kuoga kwa mtindo wa kujipakaa hakikisha usipakie sehemu chadu maana utapata madhara makubwa (chunga hili pindi unavyo jisafisha wew na usafishe na biashara yako kama upon kwenye fremu basi angalia kumwaga mwaga kudekia kila siku X1 mpaka siku 7 ndio kisha uweke talasimu yako juu ya mlango wako na kama wew machinga basi mwaga mwaga na maji kwenye vitu vyako kwa jujuu yani kisha talasimu itengeneze kama kiamuret or azima kuwa nayo unapo tumia pesa hii ni hatali sana kwa mvuto).
*AHRALBADRI*
(ONYO USITUMIE KWA KUONEA KWANI ITAKURUDIA MWENYEWE).
Yasini ni khatari sana kwenye maswala ya albadri maana ukifata mlolongo aah akuna kinacho shindikana sasa basi ukitaka kuitumia Surat yasini kama albadri kwanza andaa vifaa vyako
1CHAKI NYEUPE,PANGA JIPYA,TOFARI BICHI,KITAMBAA CHEKUNDU.
ubani wake ni miat saila,ubani mashtakh,maganda ya kitunguu swaum.
Hapa tayari kwa mashambulizi utakuwa unasoma Surat yasini X11 kila ukifika mwisho unachora ا kwenye tofali lako kipindi unasoma tofari Liwe mbele yako na Liwe kwenye kitambaa chekundu .
Ukimaliza kisomo chako soma Alan nashrah X75 kisha tofali kalitupe katika MTO unaotembea or katika ziwa or baharini.ndugu yangu dua hii khatari sana muogope mola wako na hii dua INA Fanya kazi zote INAzuia,kinga,inaazibu mwizi papo hapo,inatuma vitu (onyo hapa kuna vitu havijakamilika na nimetoa maana tu kwani ukiitqji hii tafadhari utanitafuta nikufuze na utatoa pesa ili nikiwekee bayana maana hii ni lemu kubwa sana na ukitaka kuamini kama nimefunika funika hapa angalia upaga sijatolea matumizi na ubani sijatolea maelezo pia vile vile sijasema SAA,siku nzuri ya kufanya mashambulizi yako kwaiyo bado haijakamilika ila kama waweza jiongeze).
*JINSI YA KUFUNGA JAMBO OR KESSI*
hii ni tatzo kubwa sana kwa umaah na watu wanasumbuka kwel keel yani hasa waganga (matabibu baadhi) wanataka vitu vya kufunga kesi hii utaizarau lakini hii ni mwisho kama unakesi na IPO mahakaman mpaka Leo uwelewi nini chakufanya basi inakuhusu unadaiwa na bank mikopo basi hii inakuhusu watu wanakusumbua wa hapa na pale basi hii inakuhusu
Chukua kitambaa cheusi ukikate upana wa rula mbili zile ndogo yaani usawa wa kiganja cha mkono wako .
Andika jina la umtakae au jina LA kampuni chini katika mchanga kwa kutumia mjiti kisha utazoa mchanga huo yaani zile herufi na utatia kwenye chombo safi kiwe kikavu hakikisha jina au majina ulio andika chini yawe wale wanao kuandama kila siku mpaka unashindwa kula kwa raha masikini ya mungu basi kisha andika vikalatasi saba neno hili kwenye vikalatasi vidogo vidogo sawa. (سبØ)
Neno hilo LA kiarabu japo gumu lakini jitahidi tu kuliandika kisha utaanza kusoma yasini kila ukifika mubini unachota ule mchanga pamoja na kikaratasi ulicho andika neno hilo👆 inafunga pamoja kina kuwa kama azima kisha inafunga fundo kwenye kitambaa chako cheusi kwaiyo kila ukifika mubini utakuwa unafanya hivyo mpaka umalize mubini 7 na karatasi ZAKO 7 na utafunga mafundo 7 ,ukisha maliza zoezi hilo mafundo nayo nenda kazike au kachimbie kwenye mahame walipo hama watu au njia panda .hakika kama kuna keai itakufa papo hapo na kama kuna watu wanakufata basi ndio kitakuwa kikomochao na kama kampuni basi ndio itakuwa imekufa moja kwa moja usiahau vitu adimu hivi unavipata kwa babu bidabida pekee tembela YouTube Chanel yangu at BABUBIDABIDA ONLINE TV or http://babu bidabida.blogspot. com or fika kwenye group langu LA malipo lililo sheheni masomo lukuki kama haya linalo itwa *KIBOKO YA TIBA NA DR BABU BIDABIDA*
utalipia shiringi elfu 5 na kila baada ya mweI utalipia shiringi elfu 2 ya kitanzania hii ni mujarabu sana or kwa mawasiliano zaidi WhatsApp/call +255765458910.
Soma lijaro tutaangalia jinsi ya kumvimbisha mwizi tumbo pamoja na kutibu MTU alie logwa kwa kitabu (matalasimu) na tunguri(miti shamba) uta muagua vipi haya kama ni kichaa mwenda wazimu alie kumbwa na mapepo na basi Tina zao zipo na tutaangalia jinsi ya kubashiri vitu mbali mbali . pia titangalia jinsi ya kumuadhibu dhwalimu jini alie kataa kukutii mwilin mwako au sehemu ya biashara yako .
By babu bidabida bingwa wa maradhi yoyote Yale duniani .
*EEH QARIMA NAOMBA UWAREHEMU WAZAZI WANGU NA UWASAMEHE MADHAMBI YAO HUKO MBELE ZA KHAKI WALIPO NA NAOMBA UWAFANYE MIONGONI MWA WAJA WEMA MPAKA SIKU YA MALIPO YAO AMINA YARABI*

Comments
Post a Comment