MIUJIZA YA HABAT SODA KATIKA TIBA.

*Miujiza ya  habat soda katika tiba*

habati ni punje nyeusi ndogo inafanana kama ufuta vile.
Habati souda inaviin mbalimbali navyo no kabohaidret,mafuta ya asili,na madini mbalimbali ya chuma fosforas,vilevile INA viuma sumu antibiotics vyenye kuangamiza virusi,viin vya maradhi na vijidudu.
Pia inanguvu zakiume ,nshart mwilini pia inasafisha mkojo na kutoa sumu na magonjwa yote.

JINSI YA KUTIBU MARADHI babu bidabida anasema kuwa habat soda inatibu mara2 zaidi ya asali
   KUKOSA USINGIZI
chukua habat soda ya unga kijiko kimoja weka katika maziwa glasi moja changanya kunywa.

  KURAHISISHA KUZAA
hili ni tatzo kubwa na chachu kwa kina mama sasa basi chukua habat soda na asali utapata utapata uchungu na utajifungua salama dawa hii tumia kuramba.

MAUMIVU YA MENO NA MAFINDOFINDO.
chemsha maji changanya na habat soda ya unga sukutua utapata majibu.

CHUNUSI,MADOADOA NA MAFUTA USONI.
Chukua habat soda na mafuta ya mzaituni pakaa vizuri wakati wa kulala na ikifika asubui OSHA na maji ya uvugu vugu Fanya hvyo kwa muendelezo wa matokeo mazuri by babu bidabida bingwa wa tiba asili .

KUUNGANISHA SEHEMU ILIYO VUNJIKA .
chukua unga wa habat soda na unga was dengu weka katika mafuta ya mzeituni pakaa sehemu yenye uvunjiko.

BARIDI YA YABISI.
chukua mafuta ya habat soda sugua sehemu yenye baridi yabisi.

KISUKARI.
Kama wew unatatzo hili na lina kutesa kwa muda mlefu uaijar tiba hii hapa au kwa msaada zaidi wasiliana na Mimi babu bidabida bingwa wa maradhi sugu na majini kwa YouTube chanel *BABU BIDABIDA ONLINE TV*   or blogger *www.babu bidabida.blogspot. com* or Facebook *babu bidabida* or WhatsApp number +255765458910 call me any time .
Chukua habat soda na utwange dawa hii iwe  unga wa manemane kijiko kimoja,mzizi wa kabichi uliosagwa,kikombe kimoja cha unga vyote hivyo vichanganywe na kula kabla ya chakula kula dawa hiyo na maziwa mtindi.

SHINIKIZO LA DAMU
Chukua maji ya moto weka matone machache ya mafuta ya habat soda kisha kunywa utapona haraka sana .

KUVUNJAVUNJA VIJIWE VYA TUMBO.
chukua asali changanya na habat soda ya unga kula mchanganyiko huo.

Kwa kusema ukwel habat soda ni kiboko yao na nakusihi ndugu yangu ya blogger hii ya babu bidabida bingwa wa maradhi na vijidudu vya mwilini ana group lake LA malipo linalo itwa *KIBOKO YA TIBA NA DR BABU* Lima patikana WhatsApp utalipia kiasi kidogo cha pesa ili kujiunga kwa group hilo wasiliana na Mimi babu bidabida kwa tiba na formula zaidi.
KUKOJOA KITANDANI.
chukua habat soda weka katika maziwa mpe MTU anaye kojoa kitandani usiku kabla ya kulala kikojozi .

KUTIBU MAGONJWA YA MOYO.
chukua habat soda ya unga uweke katika uji kijiko kimoja kunywa kutwa X2 kwa hakika utapata matokeo mazuri kabisa na kwa tiba za Mara moja kwa watu wenye maradhi sugu usisite kunitafuta maana "MFICHA MARADHI UMAUTI UMUUMBUA"

GESI TUMBONI
chukua juice ya muwa weka unga wa habat soda kunywa kutwa X2.

MAUMIVU YA TUMBO.
chukua maji ya moto tia matone ya habat soda kunywa na pakaa sehemu yenye MAUMIVU.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
hili in tatzo chachu sana kwa wanaume kwani ukijiona wew unaenda dk10 kushuka chini or dk3-6. Basi jua wewe ni mgonjwa unaitaji tiba na formula zaidi maana hizo ni shida na utakimbiwa na wakina Dada au mkee atakusariti plz hebu nipigie cm kwa tiba hii maana usitumie dawa booster ila kuna dawa inaitwa *Bida's POWER* HIIni kiboko ya nguvu za kiume na utaipata kwa shiringi elfu 20 tu za kitanzania sasa IPO madukani na hii inatibu kabisa na itakufanya iwitwe mwanaume lijari lakin sitaweza kukuacha bule kwani Leo lazima nikupe tiba mbadala na jua kuwa dalili za kupungua nguvu zipo nyingi mfano kukumbwa na jini,kazi ngumu,uvutaji wa vilevi kupita kiasi ,nyeto nyingi (master blesion)
Nk.  Sasa nasi mfano wa tiba yake ni hii hapa ili ukaondoe tatzo kabisa na kama utoelewa usisite kuni twangia hewani babu hapa chukua juice ya tends weka kijiko kimoja cha habat soda kunywa Fanya hivyo X2 kwa siku kwa muda wa siku14 kwa hakika utapata majibu ya papo hapo.

UGONJWA WA MACHO
pakaa mafuta ya habat soda kwa nje ya ukuta wa macho juu kwenye mgongo wa kope kule kwa hakika utapona kabsa tatzo lako tena kwa haraka sana ,

MINYOO.
chukua juice ya kitunguu swaum na juice ya nyanya changanya zote kijiko cha habat soda kisha kunywa asubui kabla ya chakula hakika utaona ajabu ya dawa hii.

PUMU NA PUMU SUGU,KIFUA KUBANA MBAVU NK.
hii ni dawa tosha ya maradhi hayo kwan Luna watu hawajapona pumu na hawajui watapona vipi ,ukiwa na tatzo hili basi Fanya hivyo chukua unga wa habat soda weka katika uji kunywa asubui na jioni kwa muda wa siku 15 hakika utaona ajabu LA dawa hili LA ajabu.

SARATANI
kama unasumbuliwa na Maladhi haya basis jua msaada upo na hii ni moja wapo ya dawa zangu tu lakin pia zipo mujarabu sana   pakaa mafuta ya habat soda kutwa X3 kwa Siku utayapata majibu kwa muda mlefu kidogo tumia kwa Sikh 31 utapona kabisa kwa uwezo wa Allah.

KULETA HAMU YA KULA.
hizi ni tiba rahisi na zenye majibu ya haraka sana
Weka matone 7 ya mafuta ya habat soda katika asali kula utapata hamu ya kula chakula kwani hata asali INA asilimia 97 ya kurudisha aregi kupona na hamu kuleta kwa kasi sana
Inshaallah hizi ni baadhi ya majqmbo utakayo kuwa unayapata humu humu kwa group kwani uaitoke kwa YouTube wala kwa WhatsApp group wala kwa Google's account yangu inshaallah Siku njema wapezi ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿคฒ

Comments

  1. Habat swauda unatumiaje kurejesha nguvu za kiume?

    ReplyDelete
  2. Huo unga wa habat soda unauzwa bei gani?

    ReplyDelete
  3. asalaam alykum shekh aaam naomba kuuliza hapa kwenye tiba ya kupata uchungu mwanamke yaan kupata sahali katka kuzaa km nmekosea utanirekebisha aa umesema unachanganya asali na habatisouda sasa je asali kwa mjazito inafaaa....!?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA