TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU.

*TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU*

ukwaju ni mti mzuri sana na unamajina mengi kwa kutokana na pahari sehemu ulipo mfano
Ukwaju kwa rugha ya kilatini unaitwa TAMARINDUS,
pia ukija kwa wahindu wanamajina yao IMLI,
na pia kwa kingereza wanauwita TAMARIND TREE,
hizi ni baadhi ya nchi na wanavyo uwita na ukija tz wanauwita UKWAJU,UKWASU,MATE MATAMU,NCHWACHU,SHINK MEREMERE haya ni majina baadhi ya rugha na jinsi wanavyo uwita mti huu wa ukwaju mti wa ukwaju unatumika kwenye kazi nyingi mfano kutoa majini fusho LA majini pia unaingia kwenye zindiko LA kufanya mchawi akiingia apigwe bakora mpaka akome na kazi nyingi sana za kupiga mangu mti huu ni wa bakora yaan mkwaju ni MUAZIBU WANGA ,ila Leo kwa vile mwwzi mtukufu basi tuone kwwnye tiba mkwaju unatumika kwenye KUTIBU maradhi mbali mbali MFANO majani ya ukwaju yanatibu fangasi,kusafisha kibofu cha mkojo,KUTIBU MAUMIVU ya viungo mwilini.

MAGOME NA MIZIZ
tatzo labkukosa choose,matatzo katika TUMBO,tatzo LA gesi,figo,pamoja na U.T.I basi kwa hakika unatibu maradhi haya tukia kuchemsha kwa kunywa au magome kusaga kunywa kwenye uji kutwa X2,

TUNDA LA UKWAJU
Kuomdoa kemikali sumu lehamu mwilini,KUTIBU tatzo LA mmeng'enyo na ni antiseptic inayouwa bacteria na kuzuia wadudu wasikae katika ngozi .

TIBA YA UKWAJU HOMA ZA MARA KWA MARA.
kunywa juice ya ukwaju ili kukata na KUTIBU homa za Mara kwa Mara na hakika utapona kabsa na pia hakikisha juice hiyo uichanganye na manjano kidogo.

KUUNGA SEHEMU ILIYO FUNJIKA.(FRACTURE)
juice yabukwaju ukichanganya na mafuta ya ufuta weka kijiko ipate uvugu vugu kisha weka juu ya SEHEMU ILIYO vunjika.

KUTIBU NGIRI.
kunywa juice ya majani ya ukwaju kutwa X3 utapona kabsaa inshaallah.

MAUMIVU YA SIKIO
weka tone moja LA juice ya ukwaju.
Hakika utapona ajabu

KUWASHWA NA MWILI NA KUTOKWA NA VIPERE .
kama unatatzo LA kujikuna kama ukurutu or nk nasi jua hilo ni tatzo na usha tumia dawa za hospitals lakin wapi na ushatumia dawa za kisuna lakin wapi basi tumia dawa hii mujarabu ponda ponds majani ya ukwaju pakaa SEHEMU yenye matatzo utapona haraka sana.

MWILI KUTOA HARUFU.
kama wew unatatzo hili kunuka kikwapa miguu or mdomo au mwilini mzima chukua ukwaju ulainishe pakaa SEHEMU pakaa kwapani SEHEMU za siri na SEHEMU zozote unazo taka zizitoke harufu kisha kaa kwa muda kisha kaoge hakika Fanya hivyo kwa matokeo mazuri zaidi .

KUPUNGUZA UNENE OR UZITO.
tatzo hili watu wengi walilitaka lakin wapi ila Leo babu bidabida bingwa wa maradhi sugu nakueleza njia rahisi isio kuwa na gharama kunywa grasi 2 za ukwaju  kula siku asubui utapungua unene na uzito haraka sana.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
kama unatatzo hili basi kunywa juice ya ukwaju kula siku asubui na jioni hakika utapata nafuuh kubwa sana.

KUTEGUKA.
kama umeteguga basi chukua ukwaju changanya na chumvi yq mawe or ya kiwandani pakaa SEHEMU ILIYO teguka utapona ajabu hii ni tiba ya ukwaju lakin hizi ni baadhi tu ya mqajqbu ya UKWAJU
ni Mimi babu bidabida bingwa wa maradhi sugu wasiliana na Mimi kwa phone no +255765458910 Epuka mataperi Nina namba mbili ambayo ni hiyo na voda tu ........🤲 wenyezi mungu wasamehe wazazi wangu na uwaondoshee azabu ya kqbrii.......

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA