MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

MAAJABU YA SURATI MARYAMU.

Sura hii ni ya 19
Ina aya 98.
Sura hii ina maajabu makubwa sana kwani sura hii ukisoma X99 chochote utakacho basi kinakiwa papo hapo hivyo basi sura hii inapiga herri na shari mfano wa surah hii inauwezo wa kufanya maajabu haya.....
1KURUDISHA KUMBUKUMBU.
(Bas andika sutlra hii aya ya kwanza mapa ya saba kisha isomee mara 99 kisha mpe kombe hilo kwa hakika atakuwa kama sumaku).
2MATATZO YA UCHAWI /MAJIN WACHAFU basi andika sura hii aya ya kwanza hadi ya 27 basi somea abjadi X113 Kisha changanya na altiti na chumvi mawe kisha mpe anywe alie athirika na uchawi anywe na kuipakaa kutwa X3 siku 7 basi lazima apone ugonjwa wowote ule ).
3KUPATA SIRI ZA MUNGU (soma surah hii mara 99 kila siku basi utapata siri zote za mungu ila iwe siri yako ).
4KUKIZIWA HAJA( mada hii nisha sema juu☝☝).
5kufutiwa zambi (dua hii au sura hii ukisoma aya ya 5 mara 1000 kila siku basi unafutiwa zambi zote hata kama ulikiwa na zambi kama povu ra bahari hapa imani ya mungu juu yetu waumini na ndio maana wanasema kuwa uisilamu ni mwisho).
6KUWA NA UPEO WA AJABU (mada hii babu nimeeleza juu kwani surah hii ni kiboko yao kama group langu hili).
7KUPATA WATOTO WA KIUME(basi kama unaitaji hili basi soma aya 7 mpaka ya 28 X11 kipa siku kwa muda wa siku 7 na kula vitu vya kuongeza nyege basi hakika mungu atakujalia mtoto utakaye mtunzi babu hapa).
8TIBA YA NGUVU ZA KIUME (dua hii ni kiboko sana kwan inakupa nguvu sana na mpaka utashangaa andika aya hii ya 8 mara 21 kisha roweka kunywa kutwa X2 hakika utakuwa na nguvu ya jimai ya hatari sana).๐Ÿ˜†
9KUKAA RIADHA KUITA MAJIN UWATAKAO(dua hii ni shida sana kwani inaita jin wa kila langi yaan wakila aina funga siku 3 anzia juma4 na kila siku soma X111 kila kipindi cha swala na ufunge siku hizo nabusile chenye roho wala usile kitu chenye kukaraisha samaki au kitunguu na usijamiane usikae kwenye vikundi na muda wote uwe mtu wa iani na swali isikutoke na uwe unasoma aya ya 10---17 hakika kiumbe atakuja haikisha nguo ziwe saf na chumba unacho muita jin kiwe safi na atakuja alhamic usiku kuamkia ijumaa jin anae itwa maruuni ni au ki-bibi jini huyu anakazi nyingi sana na kazi yake kubwa ni kuuwa).
11KINGA YA HATARI(dawa hii itakufanya kivuli chako kiwe kwa allah maana hutoweza kurogwa mpaka allah akuchoke kivipi kuacha amali njema mungu atakuchoka sasa kiamaana umejikabizisha kwa malaika wa allah na kama usipo irinyuu basi itaisha nguvu lakin ukiwa mwingi wa msamaha basi mungu atakulunda na utopatwa na ubaya wa aina yoyote mapaka kwa idhin yake basi andika aya ya 18 na uisomee X111kisha ambatanisha na vitu vya mwili wako na tunzaa sehemu pasafi mfano weka kwenye saha au pahara pasafi au kwenye mti mkubwa basi hutorogeka warahh)by babu bidabida bingwa wa uganga hapa.
12KISIMA KISICHO TOA MAJI (ingia ndan8 ya kisolima na somea maji hayo aya hizi 18---25X113 Hakika mimaji haita kauka kama kwenye mti wa mkuyu tu)
Ni mimi hapa babu bidabida bingwa wa majin na watu na misikule na patikana tanzania pia usikose kitabu changu maajqbu ya surati MARYAM kwani hayo ni machahe tu yaliopo kwenye kitabu hicho hakika hapo nimeelezea kwa jujuu lakin uaikose maana utakosa utamu ni mimi babu nitafute kwa mawasiriano zaidi +255765458910.

Comments

  1. Halo kwenye kurudisha kumbukumbu sijakuelewa unasoma Mara 99 sura yote au hizo aya yaan kutoka aya ya kwanza mpaka ya saba ×99?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA