MAAJABU YA MNANAA KITIBA ASILI BY BABU BIDABIDA

MNANAA NA KAZI ZAKE KITIBA

Huu ni mnana or tarumbeta la shetani mti huu una kazi nyingi sana kwani unauwezo wa kumwita mtu alie mbali kama utapata unga wa majani yake ukichanganya na MWITA, MLIPU, MVUTE, MWARAKA, MDAULA hapo utaweza kumudu na wito wa mapenzi mteja kwenye biashara yako kama unataka kumvuta mpenzi choma usiku wa saa6 ukiwa uchi wa unyama huku ukiwa unamuita umpendae "WEWE MNANAA WEWE NI FIRIMBI YA KUZIMU KAMA KUNA MTU HATO LISIKIA BARAGUMU BASI NA HUYU ASISIKIE SAUTI YANGU MIMI FULANI MZALIWA WA FULANI NAMUITA , ILA KAMA BARAGUMU LINASIKIKA BASI NA MIMI HUYU FULANI MZALIWA WA FULANI ANISIKIE NA ANIITIKE KUANZIA LEO HII NAMBADILISHA KUWA MWENDA WAZIMU WA MAPENZI AKILI YAKE ILALE KAMA MNANA UNAVYO WEZA KUWALALISHA WENYENYUMBA WEIZI WAPATE KUIBA BASI NA MIMI NAITAJI AJE HUYU MAWAZO YAKE YOTE ANIFIKILIE MIMI NANIWAZE MIMI KILA AKAAPO NA KILA ALALAPO YEYE FIKILA ZAKE ZIWE JUU YANGU MIMI WEWE FULANI BIN/BINT FULANI NAKUITA KWA NGUVU ZA MOTO, UDONGO,MAJI PAMOJA NA UPEPO NJOO KWA NGUVU ZA SOLOMONI"   
 Hapa nimetoa siri kubwa sana kwa waganga hebu jiongezeni maana mti huu ni kiboko mnoo sawa hii utaichoma X1 tuu tena usiku mmoja tu maana ukizidisha siku kuna uwezekano mkubwa sana kwa unae muita kumtia utahiraa .
   Fanya hii ni mujarabu sana majibu yake ni siku 7 ndan yake


Naam mti huu unaweza kutibu mtu alie kuwa kichaa endapo utachanganya  na pweza basi ni dusho tosha kabisa la kijini na kichawi kama kuna jini basi lazima afeeh.


Mti huu ndio unaotengenezewa vidonge vya sleep pells  kwani ukiwa umekula unga huu ujazo wa robo kijiko cha chai kwenye uji kikombe kimoja utalala kuanzia saa moja mpaka saa 8 ila inashauliwa dawa hii usiitumie kama wewe unaakili timamu maana itakufanya uwe teja or tahiraa naam .
Kwa leo tuishie hapo kwani mti huu kama utapakaa puani au ukipuliziwa puani basi ukiuvuta tuu unga huu utalala fofofoooo pasipo kushtuka hata kama mupo watu 1000 wote muta lala unga huu asili yake ni mkari kama ugoro na unaparia na unaasiri ya kukereketa mdomoni pia ni mchungu kama MPUTURURU vile.
Somo hili limetolewa na BABU BIDABIDA mti huu unga wake mbegu zake dukani kwangu zipo nimezileta na umesha kamilika kuwa unga kalibun muliopo dar es salaam na tanzania kiujumla na nje ya tanzania unatumiwa unga wa mti huu naam.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mimi babu bidabida kwa no +255765458910.

Comments

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA