Posts

Showing posts from August, 2020

UTAJIRI RAHISI KWA WANAUME WOTE PESA ZISIZO NA MASHARTI

Image

MUFLISI (KUMTIA MTU UMASIKINI).

Image
  *MUFLISI (UMASIKINI)* Hii ni talasimu ya IMAMU GHAZAR kitabu chake kikubwa (page 1602.). Mwandishi anasema kuwa kama ikitokea unataka umfirisi mtu kuanzia mali zake pesa zake nk.  Basi chukua yai viza kisha litoboe vizuri banisa kwa pini or kwa kitu chochote kile ila tu kiweze kutoboka bila kupasuka baada ya hapo chora talasim hii kwa kutumia winno mweusi iwe siku ya jumanne or jumamoss saa 1 asubui au saa nane mchana baada ya hapo zungushia manuizi uyatakayo mfano *WEWE JINN LA MUFILISI KUANZIA LEO NAMFUNGA FULAN BINT/BIN MAWAZO YAKE AKILI ZAKE PAMOJA NA MALI ZAKE ZOTE KUANZIA LEO AWE MASIKINI WA KUTUPWA* Haya ni baadhi tu ya manuizi kulingana na wewe unavyo taka iwe faida za talasim hii ..... 1INAMFILISI ADUI YAKO. 2INATIA KICHAA. 3INAMFUNGA MTU MUME OR MKE ASIZINI NJE YA NDOA. 4INAFUNGA NYUMBA, SHAMBA, BIASHARA NK. 5KINGA ZIDI YA WACHAWI, WEZI, MAJAMBAZI. 6KUMUAMISHA MTU. 7KUMTIA MTU NUKSI KALI KAMA RADI. Talasim hii manuizi yako ndio kila kitu baada ya kumaliza kuchora na kuwe ma

MUHURI WA SHETANI.

Image
  *MUHURI WA SHETANI*  Ikitokea mmoja wenu anataman mari za dunia basi hii ni njia bora sana kwake leo nawaibia siri toka kwa magroup ya watu wazima sio kiumli apana ni kiuganga.    Kama mmoja wenu anaitaji kuwa na pesa mfano hata za babu bidabida basi kubwa inaitajika akau print mchoro huu kama ulivyo kisha kwa pembeni maa talasim hii azungushie manuizi ayatakayo mfano *JINI LA PESA NATAKA UNIPATIE PESA CHEO NA UMAHARUFU KUTOKA KONA ZOTE ZA DUNIA NI MIMI FULANI BIN/BINT FULANI* ila hakikisha manuizi unachora kwa kutumia damu yako mwenyewe inamaana utajikata kidogo ili upate damu na siku yake ya kuiyandaa iwe IJUMAA baada ya kutoka watu msikitini kabla ya kufika saa9 jion .   Baada ya kuaanda unatakiwa uipe kafara ya udi unao nukia sanaaah! Wowote ule na ubani unao nukia sana hata kama ni SANDAL au AMBALI.   Kumbuka ukiwa unafusha unanuizia vile utakavyo wewe kuhusu dunia TU. kisha ishone azima nje kitamaa cha kushonea kiwe ni PESA ya nchi yako ya karatasi(note) iwe kubwa kupita zote.

DHWAMIT NI JINI LA PESA NA MALI ZA HARAKA SANA.

Image
  Jini huyu anaitwa DADHWAT hawa ni miongoni mwa majini kwa mfumo wa number wapo 9 kwa mfumo wa alfabet wapo 28 majini hawa asili yao ni Misirii Walikuwa wakitumika kwa shughuli mbalimbali enzi za uhai wa manabii mbalimbali jini huyu kama unavyo muona hapo kwanza anambawa na mapembe kafara zao ni UBANI, UDI pamoja na mishupa ya farasi dume.    Uzuri wao hawa huwa chakula wanajitafutia wenyewe na wanauwezo wa kumtajirisha mtu mara moja kama tu mtu atakuwa makini nao. Jini huyu DWAMIT Anakazi nyingi sana ukiacha kumpa mtu pesa nk,     KAZI ZA JINI HUYU.   •Anampa mtu pesa kwa idadi anayo panga jinni.   •Anaita mke/mme/ndugu alie toroka au kukimbia nyumbani.   •Anavuta wateja katika biashara yako.   •Zinamfunga mfanya kazi/mpenzi/mume/mke au mahusiano yenu ili waziweze vizabi zabina kuingia.   •Zindiko la kushika wezi/wachawi nk.   •Jini huyu anauwezo wa kumfunga mtu ili asiweze kukufanyia chochote kile kibaya.   •Anaweza kukufanya kupendwa na kila mtu.   •Anauwezo wa kukufanya kukubalika