MAJAABU YA SURAT MARYAMU.
MAAJABU YA SURATI MARYAMU. Sura hii ni ya 19 Ina aya 98. Sura hii ina maajabu makubwa sana kwani sura hii ukisoma X99 chochote utakacho basi kinakiwa papo hapo hivyo basi sura hii inapiga herri na shari mfano wa surah hii inauwezo wa kufanya maajabu haya..... 1KURUDISHA KUMBUKUMBU. (Bas andika sutlra hii aya ya kwanza mapa ya saba kisha isomee mara 99 kisha mpe kombe hilo kwa hakika atakuwa kama sumaku). 2MATATZO YA UCHAWI /MAJIN WACHAFU basi andika sura hii aya ya kwanza hadi ya 27 basi somea abjadi X113 Kisha changanya na altiti na chumvi mawe kisha mpe anywe alie athirika na uchawi anywe na kuipakaa kutwa X3 siku 7 basi lazima apone ugonjwa wowote ule ). 3KUPATA SIRI ZA MUNGU (soma surah hii mara 99 kila siku basi utapata siri zote za mungu ila iwe siri yako ). 4KUKIZIWA HAJA( mada hii nisha sema juu☝☝). 5kufutiwa zambi (dua hii au sura hii ukisoma aya ya 5 mara 1000 kila siku basi unafutiwa zambi zote hata kama ulikiwa na zambi kama povu ra bahari hapa imani ya mungu juu
A. Alaika ndugu mpendwa,,,, kwanza shukran zá dhati zikufikie kua elimu unayotupa. Mimi nataka nijiunge pamoja nanyi,,,, kipi nikifanye ili niweze kujiunga
ReplyDelete