MUFLISI (KUMTIA MTU UMASIKINI).
*MUFLISI (UMASIKINI)* Hii ni talasimu ya IMAMU GHAZAR kitabu chake kikubwa (page 1602.). Mwandishi anasema kuwa kama ikitokea unataka umfirisi mtu kuanzia mali zake pesa zake nk. Basi chukua yai viza kisha litoboe vizuri banisa kwa pini or kwa kitu chochote kile ila tu kiweze kutoboka bila kupasuka baada ya hapo chora talasim hii kwa kutumia winno mweusi iwe siku ya jumanne or jumamoss saa 1 asubui au saa nane mchana baada ya hapo zungushia manuizi uyatakayo mfano *WEWE JINN LA MUFILISI KUANZIA LEO NAMFUNGA FULAN BINT/BIN MAWAZO YAKE AKILI ZAKE PAMOJA NA MALI ZAKE ZOTE KUANZIA LEO AWE MASIKINI WA KUTUPWA* Haya ni baadhi tu ya manuizi kulingana na wewe unavyo taka iwe faida za talasim hii ..... 1INAMFILISI ADUI YAKO. 2INATIA KICHAA. 3INAMFUNGA MTU MUME OR MKE ASIZINI NJE YA NDOA. 4INAFUNGA NYUMBA, SHAMBA, BIASHARA NK. 5KINGA ZIDI YA WACHAWI, WEZI, MAJAMBAZI. 6KUMUAMISHA MTU. 7KUMTIA MTU NUKSI KALI KAMA RADI. Talasim hii manuizi yako ndio kila kitu baada ya kumaliza kuchora n...
A. Alaika ndugu mpendwa,,,, kwanza shukran zá dhati zikufikie kua elimu unayotupa. Mimi nataka nijiunge pamoja nanyi,,,, kipi nikifanye ili niweze kujiunga
ReplyDelete