DHWAMIT NI JINI LA PESA NA MALI ZA HARAKA SANA.

 Jini huyu anaitwa DADHWAT hawa ni miongoni mwa majini kwa mfumo wa number wapo 9 kwa mfumo wa alfabet wapo 28 majini hawa asili yao ni Misirii Walikuwa wakitumika kwa shughuli mbalimbali enzi za uhai wa manabii mbalimbali jini huyu kama unavyo muona hapo kwanza anambawa na mapembe kafara zao ni UBANI, UDI pamoja na mishupa ya farasi dume.

   Uzuri wao hawa huwa chakula wanajitafutia wenyewe na wanauwezo wa kumtajirisha mtu mara moja kama tu mtu atakuwa makini nao.


Jini huyu DWAMIT Anakazi nyingi sana ukiacha kumpa mtu pesa nk, 


   KAZI ZA JINI HUYU.

  •Anampa mtu pesa kwa idadi anayo panga jinni.

  •Anaita mke/mme/ndugu alie toroka au kukimbia nyumbani.

  •Anavuta wateja katika biashara yako.

  •Zinamfunga mfanya kazi/mpenzi/mume/mke au mahusiano yenu ili waziweze vizabi zabina kuingia.

  •Zindiko la kushika wezi/wachawi nk.

  •Jini huyu anauwezo wa kumfunga mtu ili asiweze kukufanyia chochote kile kibaya.

  •Anaweza kukufanya kupendwa na kila mtu.

  •Anauwezo wa kukufanya kukubalika kwa watu.

  •Anauwezo wa kukupa ushindi wa jambo unaro taka wewe.

  •Kuomba kitu kwa mtu na atakupa.

  •Ukimuweka kwenye pete atakufanya 

  •Anauwezo wa kukufanya upite sehemu pasipo kuonekana na mtu yoyote isipokuwa ni wewe tu.

uwe juu kuliko kiumbe yoyote hapa dunian. NK


Hizi ni baadhi tu ya za kazi zinazo fanywa na jini huyu bidabida anaeleza kuwa kama utafata anavyo taka kiumbe basi uta tajirika kwa kutokana na mungu.


MAANDALIZI YA KUWA NA JINI HUYU.

Kwanza kabisa hakikisha mwili wako ni msafi kuanzia mavazi, roho, mpaka mwili na kuwa mtu wa ibada sana jini huyu ananjia nyingi sana za kufanya nae urafiki ila leo niwape njia hii 

 √Funga siku 3 kuanzia juma nne na kila siku muda wa swala utakuwa unasoma surat NASRI X41 na komea panapo sema AFUAJA.......... Unasema shida zako .


Na usiku utakuwa unasoma X41 hakikisha unakaa riadha hii ukiwa umefunga kaa riadha ya ndani yaani usitoke nje labda kama kutoka nke ni kwenda chooni na kirudi ndani kaa na udhu mda wote.


Kwa siku ya mwisho utakaa kitako na kuisoma sura hii NASRI x313 huku ukiwa umeishika karatasi yako kama vile unavyo soma kitabu au garazeti huku ukiwa unaiyangalia ile karatasi.

   

   DALILI ZA KUWA JINI WAKO ANAFIKA.

 Kwanza utasikia karatasi inaongea na kupiga kereree na kutatarika atatatata..

Jua jini wako anakuja pia karatasi hii kama hutoishika kwa nguvu inaweza ikapaa na baada ya hapo sasa ukiwa umeshika karatasi utakuwa unanuizia kuwa jini wako aje na akija utamueleza shida zako.


 UJASIRI UNAITAJIKA.

Jini huyu akija anasauti kubwa kwel kwel na ni nene alafu nzito akija atakupa salamu!

 na wewe utajibu ile salaam!

 na ataluliza unataka nini?

 na wewe utamjibu nataka ....... Mfano PESA MALI UTAJIRI...!


   atakuliza na weza kukupa na wewe utanipa nini pindi nitakapo kupa?


Utamjibu sina cha kukupa zidi nitakupa utakavyo nipa wewe Dhwamit...!


Basi hapo watajitokeza majiini 4ambao watakuzunguka wewe baaada ya hapo watakupa PETE ambayo pete hiyo inakito cha NJANO na wale majini wote watakaa ndani ya ile pete katika majini 9 wenye umuhimu ni majini 4 ambao hawa wanaweza kukupa pesa wewe ni jini la 1.3.8.9 hawa ndio watakao kuzunguka.


Na kumbuka ndani ya siku 3 ulizo funga kwanza chora jini huyu kwa zafarani na hapo kifuani andika jina lako na hapo kwa mguu wake wa kulia andika shida yako karatasi ziwe 2 moja ya kunywa na uloweke kwenye ujazo wa maji lite3, 4, 5,10 na maji hayo utakuwa unakunywa kila siku wa kati wa Magharib ndio kiwe kifungua kinywa chako baada tu ya juma tatu kutia nia kiwa kesho unaanza swaum ya sunnat rihaja....


Baada ya hapo kombe hilo utakunywa na kuoga kwa mtindo wa kujipakaa mwili mzima kutwa X2 ila kunywa kutwa X1 .


Naam babu bidabida anaeleza kuwa kama utakuwa na kifungo hatokuja jini wako na pia hakikisha ndani ya siku hizi 3 .....

  ×USIRE KITU CHENYE ROHO.

  √USIWE KWENYE MAKUNDI.

  ×USIFANYE MAPENZI.

  √SWALI SANA.

 ×USITUKANE.

 ×USIANGALIE VIDEO/PICHA ZA PORNO.


Hapa nimewapa fununu kuwa jini huyu anasifa gani lakini kama wewe unataka kuwa na majini haya na uwezi mizunguko hii basi mimi nimeunda pete za majini zenye uwezo wa kukutajirisha wew na familia yako ambazo nauza kwa MILIONI 2.5 ZA TANZANIA.

  na kama ukiitaji basi wasiliana na mimi babu bidabida kwa phone +255765458910.

   whatsapp call nk

Pia ni follow instagram/facebook at BABU BIDABIDA.

 pia njoo YOYTUBE andika BABU BIDABIDA ONLINE TV.


Kwa mtu anae itaji msaada wa tiba mbalimbali na kujitatua na matatizo yake yeye binafsi basi njoo whatsapp nimeanzisha group la malipo Ada ni elfu5 na kila mwezi utalipa elfu2.


Ni wauzaji wa dawa jumla na rejareja tupo DAR ES SALAAM BUZA KWA MAMA KIBONGE UKIFIKA NJOO HADI HAPA MSIKITINI ULIZIA ILIPO KUWA BAR YA GADAF ZAMANI KWA SASA KUNA CAR WASH TUPO MAENEO HAYO ULIZA DUKA LA DAWA ZA AAILI LA BABU BIDABIDA au piga phone +255718946668.

  ni follow at Babubidabida@Gmail.com


Kama ukitaka elimu ya jini huyu zaidi nimemuelezea YOUTUBE Kuanzia A-Z nenda ukasikilize.


Comments

  1. UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI

    (Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajili ni azina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)


    MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi mkristo nawezaje kupata jini pesa??? Nisaidie malipo baada ya kufanikiwa

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA