Posts

Showing posts from December, 2020

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA

Image
  *RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA* Hii ni talasim la mapenzi andika khatima hii katika karatasi nyeupe3, sehemu ya kwanza hapo kwenye mstali mwekundu ni pahala pa kuweka jina lako na la mama yako na hapo mstali wa pili wa njano ni pahala pa kuweka jina la mpenzi wako unae mkusudia kumfanyia hivi hata kama yupo mbali hii itamfanya huyo mtu arudiahe mapenzi baina yako na yake ukisba maliza sasa hizokaratasu fanya hivi    1 karatasi hii nenda ukaiweke chini ya jiwe kubwa. 2 nyengine kachome moto uibadilishe iwe majivu na majivu hayo ya mwage ktk upepo. 3kaitupe ktk maji yanayo tembea. Hii zingatia sana kabla ya hapo ukiandaa tu iwe siku ya ijumaa na uisomee BARAHATIx2, KARIRIx2, TATIRIHx2, soma mara 113 huku ukiwa unaifusha ubani msafi mweupe or zuhura baada ya hapo ndio upeleke sehemu hizo3. Somo hili limeandikwa na kuandaliwa na babu bidabida mtalaam wa tiba za asili tanzania wasiliana nae kwa simu namba +255765458910.

MVUTO WA AJABU

Image
              MVUTO WA AJABU    Hii imeandaliwa na babu bidabida,    Anasema kwamba   Mmoja wenu awe wa  °kike anaeitaji kupendwa sana na wanaume. °wa kiume anaeitaji kupendwa sana na wanawake. Basi inaitajika afanye hivi .     Maandalizi Chukua karamu ya kijani chora talasim hii ya macho iwe siku ya ijumaa muda wa watu kwenda msikitini yaani saa 5 mpaka saa6 mchana. Usiku wa siku ya ijumaa isomee. • BISMILLAH RAHMAN RAHMU X236. •YAA KUN FAYA KUN X236. •YAA WAHABU X236. •SURAT FATIHA X236. Huku ukiwa unaifusha kwa ubani UVUMBA,ZUHURA, MASHTAKA, MAKKA utamixer pamoja. Ukimaliza kuifusha baada ya hapo itengeneze azima na weka katika pochi lako au funga ktk mwili wako uwe nayo. Babu bidabida anasema kuwa hii inafaidia nyingi sana. • KINGA KWA MTU ATAKAE BEBA. •MVUTO KWA MTU ATAKAE BEBA. •KAULI KWA MTU ATAKAE KUWA NAYO. Na ina kazi nyingi sana sana.  Ila hususani leo nimekuelezea na kukueleza hii faida.