MVUTO WA AJABU

 


           

MVUTO WA AJABU

  

Hii imeandaliwa na babu bidabida, 

  Anasema kwamba 

 Mmoja wenu awe wa 


°kike anaeitaji kupendwa sana na wanaume.

°wa kiume anaeitaji kupendwa sana na wanawake.


Basi inaitajika afanye hivi .


    Maandalizi

Chukua karamu ya kijani chora talasim hii ya macho iwe siku ya ijumaa muda wa watu kwenda msikitini yaani saa 5 mpaka saa6 mchana.


Usiku wa siku ya ijumaa isomee.


BISMILLAH RAHMAN RAHMU X236.

•YAA KUN FAYA KUN X236.

•YAA WAHABU X236.

•SURAT FATIHA X236.


Huku ukiwa unaifusha kwa ubani UVUMBA,ZUHURA, MASHTAKA, MAKKA utamixer pamoja.


Ukimaliza kuifusha baada ya hapo itengeneze azima na weka katika pochi lako au funga ktk mwili wako uwe nayo.


Babu bidabida anasema kuwa hii inafaidia nyingi sana.


KINGA KWA MTU ATAKAE BEBA.

•MVUTO KWA MTU ATAKAE BEBA.

•KAULI KWA MTU ATAKAE KUWA NAYO.


Na ina kazi nyingi sana sana.

 Ila hususani leo nimekuelezea na kukueleza hii faida.

Comments

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA