JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

 

*JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.*


Leo tumuangalie huyu jini anaitwa jini BINAA Jini huyu anakazi nyingi sana sana hususani TALASIMU HII YAKE na imeandikwa kwenye vutabu vya MJARUBATI kuwa talasimu yenye nguvu sana dunian ni talasimu ya milango 3 or vyumba 3 

    👆👆Talasimu hii ni talasimu ya kipekee kabsa na nimewapa kama zawadi juu yenu sasa basi talasimu hii ilikuwa ikitumika na HEBREW huko UGIRIKI talasimu hii inamilikiwa na MASONIKI pia  talasimu inamiliki jina la 3 la FREEMASON ambali ni BINAAH ndani ya talasimu hii kuna majini zaidi 700 neno BINAAH maana yake ni USKIVU, WELEVU, UTULIVU, AKILI, JUHUDI,MVUTO NK.

    faida za talasimu kama ifuatavyo 

1AKIBEBA MFUNGWA AZIMA HII HAKIKA ATACHIWA.

2MSAFIRI AKIBEBA AZIMA/TALASIMU HII HAKIKA ATAFIKA SALAMA , NA TALASIMU HII UKIWEKA KWENYE KIPANDO HAKITA PATA AJARI.

3IKIWA MWANAMKE ASHIKI MIMBA MPE TALASIMU HII AVAE KWA SIKU 40 ATAPATA MIMBA .

5MTU AKIBEBA AZIMA HII BASI ATAPATA UTUKUFU NA MVUTO WA BIASHARA MA CHONI MWA VIUMBE.

6MWENYE KUKAA TU NA TALASIMU HII HATA KWENYE CM YAKE AKAWEKA PROFILE PICTURE YAKE NA AKAISOMEA BARAHATII X21 HAKIKA ATAPENDWA NA KUGOMBANIWA NA WATU NA ATATAWALA JAMII INAYO MZUNGUKA.

7KAMA UNAITAJI MVUTO AA AJABU kwa watu na kwa mkeo wa ndoa fanya hivi chukua maji ya visima 7 changanya pamoja na zafarani kisha chora talasimu hii kisha loweka katika maji hayo ya visima yalio bakia pembeni na utatumia kuoga maji hayo kwa muda wa siku 7 faida zake kama zifuatazo.

   1Utapendwa sana na watu, 

   2utaheshimika na viongozi na watu wengine.

   3utaondoa visirani hasira za mara kwa mara.

  4kama biashara zilifungika basi zita funguka haraka sana .

  5ikitokea kombe hilo umelinywa basi kila utakacho ongea kwako hata kama ni pumba basi mbele za watu 

utaonekana umeongea point adhimu sana.

  6ikitokea umekunywa kombe hili kama unaugonjwa wa kupoteza kumbukumbu basi tatzo hilo litapotea kabsa.

8IKIWA UMEKIMBIWA NA MUME OR MKE NA UNATAKA KUMRUDISHA CHORA TALASIMU HII KWA WINO MWEKUNDU KISHA ISOMEE BARAHATII X21 KISHA KAITUNDIKE JUU YA MTI WA MKOMA MANGA OR MTI MKUBWA HAKIKA ATARUDI KAMA UPEPO (usisahau kuweka na manuizi na jina launae muita kwa kiswahili or rugha yoyote ile).

9MSICHANA/MVULANA ANAE TAKA KUOLEWA OR KUOWA BASI CHORA TALASIMU HII KISHA ISOMEE ALAMNASHRAHA X21 NA YAA WADUDUUH X1001.

KISHA ALIWEKE NA AOGE KWA MTINDO WA KUJIPAKAA KWA MUDA WA SIKU 7 HAKIKA HII NI ZAWADI NIMEWAPA.

10IKIWA MUNASUMBULIWA NA WACHAWI NA WAMEKUFUNGIA BIASHRA YAKO OR OFISI YAKO WAKATI MWANZO ULIKUWA UNAUZA OR UNAWATEJA LAKONI NOW UMEWAPOTEZA BASI CHOLA TALASIMU HII KISHA ISOMEE AYAT QURUSIY X71 KISHA LOWEKA KWENYE MAJI NA TUMIA KUOGA NA KUMWAGA MWAGA SEHEMU YA BIASHARA KWA MUDA WASIKU 7 UKIWA UMECHANGANYA NA CHUMVI MAWE PUNJE 41 UKIMALIZA SIKU HIZO CHORA TENA KARATASI ZIWE2 MOJA TUNDIKA KWENYE BIASHARA YAKO MOJA WEKA KWENYE MFUKO WAKO OR SEHEMU UNAPO TUNZIA PESA NA KAMA BIASHARA YAKO SIO YA KUKAA BASI TUMIA KUOGA KISHA TENGENEZA NYENGINE TUMIA KUWEKA KWENYE MVUKO OR WARETI YAKO .


VIJANA WANGU TALASIMU HII NI MZURI SANA SANA TENA INAFAIDA NYINGI NA ZOTE DUNIANI HAPA NIMEELEZEA TU FAIDA MZURI ILA TALASIMU HII HAIPENDI MTU MCHAFU ITUMIKE TALASIMU HII SIKU YA ALHAMIC TU TENA SAA MOJA ASUBUI OR SAA NANE MCHANA OR SAA SITA USIKU NA KUENDELEA MWISHO SAA 10 USIKU IJUMAA TALASIMU HII NI MBAYA PALE TU UTAKAPO KOSEA MASHRATI HAYA MAANA HAWA NI MAJINI SIO TALASIMU KAMA TALASIMU ZINGINE ONYO ONYO TUMIA SEHEMU SAFI NA SALAMA NA NGUO ZAKO ZIWE SAFI NA SALAMA MAANA ASIJE BEACHARD akakugeuza kuwa supu   BEACHARD ni jini mwenye nguvu sana na mamlaka juu ya upepo , dhuruba (tufani), radi, umeme, mvua na mvua ya mawe.kwa kutumia uchawi wa chura na vitu vingine vya namna hii kwaiyo bora lawama kuliko fedhea onyo kuwa na akili timamu   talasimu hii imetolewa na babu na kuchambuliwa na babu ipo chini ya mamlaka yake ukiitaji kujua zaidi elimu ya talasimu hii elimu ni bahari kalibu maana unaweza ukapaa kwa kutumia talasimu hii kwa leo niishir hapo naimani hakuna sehumu nilo acha kote nimepita    kwa msada zaidi nenda https://youtube.com/channel/UCtv6pbQD3p8ZOm_4gjO5vhg

Comments

  1. Nitaifanyia Kazi Boss nitakupatia majibu asantisana kwasomo hili

    ReplyDelete
  2. Kwa babu ata kuweka profile ni siku ya alhamic tu

    ReplyDelete
  3. Kwahiyo unachora alhamiss au utatumia alhamis

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA