KUWA NA KIPATO

 


*KUWA NA KIPATO* 

Nimepata malalamiko mengi sana kuhusiana na kipato sasa leo nimeona nitoe sadaka hii kwanza na wewe ufaidike 

 Andaa talasim hii siku ya mapenzi aijalishi iwe nilini?


Kuwa nayo hii talasim ukiwa umeandika kwa kutumia zafarani ilio changanywa na rose marash pamoja na misk.


Baada ya hapo kuwa nayo hii azima ila kila siku uwe unatamka maneno haya X50


*"ALLAH NUUR AL-SAMAWAT WAL ARDHI"*


Kwa hakika utaona fedha itakavyo funguka.


Somo hili limetolewa na babu bidabida.

+255765458910

Comments

  1. Dr. Asantisana kwahii somo alakini Mimi siandike kiarabu jaribu nichorea Kwa print zakuonekana basinami nijifunze chora kiarabu NITATIA juhudi Dr.

    ReplyDelete
  2. Asanteni kwa mafundisho yako ila naomb uandike kwa kiswahili Kiarabu sikijui

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA