MAAJABU YA JINI WA PESA
*LEO TUONE MAAJABU YA JINI WA PESA*
Unajua kuna aina nyingi sana ya majini wapo kalibuni bilioni na mabilioni lakin wenye maana ni wachache kwel kwel sasa usizani kila jini anaita pesa 😃
Kuna waganga Leo hii wame kuwa wakitaka sifa sana mbele za watu,NA jua kwanza hata majini wapo wa aina 2
Aina ya KWANZA ni waganga matapeli waganga hawa wanaishara nyingi sana za kuwajua pia vile vile mpaka unashindwa kuchambua maana watu sasa hivi uganga wamefanya ajira lakini aina ya pili ni waganga wa ukwel waganga hawa utawajua kwa macho tu pamoja na kazi zao wanazo zifanya pia vile vile kama wew unataka kuwatambua hawa nikazi mpaka uwangaike kwel kwel ila Leo sipo huko maana hata uganga upo wa aina mbili kuna wa miti uganga huu unahusika na tunguri kwa sana kitabu kwa mbali ila uganga wa pili kuna wa kitabu hawa kusoma ni sana hata miti shamba wanatumia miwili mitatu ,
Sasa basi hata majini ndio wapo hivyo hivyo
Kuna majini wa ukwel na wasio kuwa wa ukwel je utawajuaje hawa hapa sasa mpaka uwe mzoefu wa kuita majini sawa maana Leo hii kuna watu wanasema wanauwezo wa kumpa MTU utajiri alafu maisha yao tu wanaishi katika nyumban za kupanga na vilinge wameweka kwa nyumba za watu .....
Hapa nataka nieleweke kuwa nafafanua kwa ufasaha ili ujue chimbuko 🤲
... Je utajuaje jini mzuri na mbaya jini mbaya anakula ama anakunuwa damu hawa ni majini wa baya na majini wazuri ni wale wanakula mifupa na mavi ya farasi na ubani moshi wake na UDI pia jini mzuri kwenye ngurue (PIG) hawezi kupiga wala kusogea maana majini wanaishi kama sisi kimatabaka kwamba ukitaka kwenda kwa wazungu uwende bara gani ? Na watu weusi uwende bara gani kwaiyo majini kuna weuoe weusi walemavu wapo masikini matajiri wapo lakini elimu hii kwa vijana wa siku hizi uwezi kuipata kama sio mwingi wa kuwatafuta MANGURI uwende ukasome ...
Wapo waganga Leo hii wamesomea na kuna waganga wamelithi na kuongeza ujuzi kwa wakongwe wa uganga tena sio mmoja wala wawili mashaallah ...
Sasa basi tambua sio kila mvaa Pete ni mganga kwani kwa sasa hivi utakuta watu wanavaa Pete kuwa pambo maana ukimkuta MTU anavaa Pete kwa tafsiri ya kizamani kuwa ni mtawaliwa wa majini na Pete mzuri sio ya kununua madukani or kwa masonara kwenda kuchonga humu utajuta kwani wale wanatengeneza Pete za biashara kwa sasa hivi hata Vito vyao having nguvu kwani wanachukua maputika ya prastiki wanasema kito furani mmmh!
Sio miti kizuri ni mile cha kununua kutoka kwa muuza madini na kwenda kuchonga mwenyewe or kupatiwa na viumbe ......
Sasa basi hapa Leo tunaangalia namna ya kuwa na jini huyu ambae ni jini mpaya kabsa kwenye masikio yenu ila ananguvu sana
JINI HUYU. anaitwa DANTALION ______
huyu jini or roho ya sabini na moja katika koo ama tawala za majini amina DUKE ,Jini huyu kama utafanikiwa kumuona basi sula yake ni ya MTU kabisa lakini anavichwa Vingi kwel kwel na vichwa vyote ni vya jinsia ya kike jini huyu kama utabaatika kumuona basi lazima mkononi mwake wa kulia utamkuta kashika kitabu na kitabu hichi ndio nyaraka chache alizitoa kwa ajiri ya kuwapa wazee wetu wa zamani ndio hawa waganga wa sasa hivi utakuta wanatumia Mara kujua nyota Mara kutabiri kitu kijacho vyote huyu jini ndio anavyo yeye na ndio mwalimu mkuu
•SIFA YA JINI HUYU
° kukupa upeo wa kujua shida zake zote pasipo yeye kukuambia hata moja .
°anauwezo wa kukupa cheo ambacho usicho kitarajia.
°anauwezo wa kukupa chochote ama kufanya kazi yoyote ile utakayo mwambia na kukubaliana.
°jini huyu ni anauwezo wa kukupa uganga wore wa kitabu cha matalasimu na michoro yote .
°jini huyu ndio anauwezo wa kukupa wew majini wa kupandisha kichwani kama kuna majini wa kupanda basi ndio anakupa majini ya utabili uyatakayo wewe .
Na sifa zingine nyingi sana
Jini huyu anakazi kubwa sana LEO HII KUNA WATU WANA MIGODI LAKINI wakichimba hawapati madini or madini wanapata lakini wakienda kuuza zina BADILIKA NA KIWA SHABA or madongo basi jini huyu ndio Kazi yake kuzuia upotevu wa Mali hizo .....
Jini huyu kazi yake nyengine unaweza kumtumia kwenye kuwapatanisha watu salio gombana kwenye mapenzi,mwanafunzi wangu nisikilize kwa umakini nakupa somo hili ili uwepuke utapeliwaji sawa maana majini sio kitu cha mchezO mchezo yaani usiwe mwingi wa kujaribu maana ni khatari sana pindi atakapo wasili ni baraha sana kijana wangu jini anauwa jini anasababisha kukupa maradhi yasio pona mwilini hiyo ndio shughiri yake sasa naona vijana wengi sana utakuta nataka jini pesa anipe pesa nifunze kuita jamani majini sio kama embe kwenda kuokota kikubwa sio kuja jini kikubwa pale atakapo kuja na kukuuliza kuwa Mimi nitakufanyia kazi yako je wew utanipa nini pindi nitakapo kufanyia kaz yako ?
Hapa ndio kimbembe na kutaja anataja yeye na madhara yapo hapa anaweza kukuomba mnyama mwwnye miguu miwili je wew utatoa mnyama gani ama akakuomba ulimi wako pindi atakapo kupa Mali usione MTU kafanikiwa basi ukaona kimjngu mungu hapana na ndio maana utakuta Luna watu wana makanisa yao mpaka sasa wanaabudu kishetani kwani sio wao Bari ni masharaiti ukikosea mkataba ndio utajikuta umesha fungua zehebu lako na wewe OK sipo huko tuendelee maana hili somo langu nafafanua ili tyu munielewe kuwa kama munataka kuita jini jua ujipange kwa yote yatakayo kukuta .
Sasa basi jini huyu anafunza uganga na anamiliki majini wenzake takribani 36 HAYA MAJEAHI YA KIVITA .
ukiwa nae jini huyu DANTALION utakuwa wamtu mwenyewe kupendwa kuthaminiwa pamoja na kuogopekwa sana pia utokiwa fukara na jini huyu ukimuita
Atakupa Pete yenye kito cha kijani or cheupe chenye kumeremeta mawala sio cheupe cha dongo na pia Pete zake zina kuwa kwenye muumdo wa mstatiri ......
Na wala si Pete nyengine
*MASHARTI YA JINI HUYU*
kipindi unataka kumita
Kwanza
1jitenge na wanawake or wanaume .
2jitenge na vikundi vya kipuizi na wala usithubutu kichinja wala kula nyama or samaki wala yai wala kitunguu swaum na usile mboga yenye kutiwa kitunguu swaum kiufupi usile kitu chenye roho wala mboga yenye kukaraisha .
Usiangalie video za X NA WALA video zisizo faah.
Kwa muda was siku 7 tyu
Jini huyu ukiwa unamuita basi uvae nguo yenye kumpendeza na manukato mazuri kabisa mfano FEETMA OR BI DAAH nk.
Jini huyu rangi yake ya bahati ni kijani,ubani wake ni sandalwood.
Pete yake ni ya copper yenye kito cha maji or kijani ilio koza ,sayari yake ni Venus element yake ni MAJI.
basi ukiwa na hivi na ukifata hivi hakika utakuwa ni miongoni kwa watu wenye amani pia vilevile utakuwa MTU wa juu kama ufalme .
Usisahau kuwa ni Mimi babu bidabida mtalaam wa Tiba asili Tanzania usikose kuni follow YouTube at BABU BIDABIDA ONLINE TV kujipatia masomo yangu zaidi na kujua zaidi majini ni nini? najua unajiuliza pia siku ijayo ....nitafunza jinsi ya kuita jini ili na nyie muwe wenye amani na wala musiwe wenye kutapeliwa usikose group langu LA malipo linalo itwa KIBOKO YA TIBA NA DR BABU +255765458910.
Comments
Post a Comment