TALASIMU YA AJABU


 

*TALASIMU LA AJABU*

  naam leo tuangalie kwanza maajabu ya hii talasimu kwanza .


Leo hii kuna waganga wanataka macho, maono na pia wanaitaji uganga wa kubashiri ila hawana ukweli kusema baadhi yao lakini sasa wewe mwanafunzi ulie katika group hili la babu bidabida na amini talasim hizi utazikutana katika vitabu vyangu.

   Chola talasimu hii kama ilivyo au katoe copy talasim hii kisha kiwa nayo kama azima na talasimu hili litakupa maono juu ya majambo unayo yataka lala nayo kila siku.


  Inafaida nyingi sana takasimu hii ila buhuri yake ni UBANI jawi, uddi wa ROSE.

 hakikisha kuwa unaisomea talasimu hii SURAT JINNI aya ya kwanza mpaka ya 9 X11 na zungushia manuizi yako unayo yataka.

   Faida mbili tatu za hii talasimu.

 1.JUA KABSA KAMA UTAIWEKA DUKANI KWAKO HII INAITA WATEJA SANA NA PIA NI KINGA ZIDI YA WACHAWI.


2.NI TALASIMU LA KINGA YA WEZI JUU YA MAJAMBAZI.


3KUNA WATU WANATAFUTA UMAARUFU KWELI.

  (chora tembea nayo ila fungia pamoja na ambali nyeupe ama kingozi cha ngekewa ama kingozi cha karungu yeye.).


4Talasimu hii kama utaweka nyumbani kwako nasi nyumba hiyo haitoisha watu.


5talasimu hii kama unataka kuuza kitu chako kwa haraka shamba, nyumba, kiwanja basi andika kisha chimbia katika eneo lako ama tundika hakikisha unaifunga na mfuko ili isilowe tu na mvua.


 Talasimu hii inakazi nyingi kweli kwa inatoa hadi mnyama mwilini, inatibu magonjwa ya kichawi kama utaifanya kama kombe yaani sisemi sana ila tafuta kitabu changu kiitwacho MAGIC BOOK ujionee offer ya wana group ni  laki moja na nusu wasiliana na mtoa huduma kwa wateja +255718946668.

Comments

Popular posts from this blog

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA