TEGO LA KUMSHIKA MWIZI
TEGO LA KUMSHIKA MWIZI
Chukua mti unao itwa papyrus (NDAGO ILIO KOMAA),
bararua kati ili upate upana wa kuweza kuandika maneno haya
( ۱ ) الله لا إله إلا هو الحي القيوم لا تأ سنة ولا نوم له ما في الشوي وما في الأرض من ذا الذي يشفع عنده إلا بإذني ملم ما بين أيديهم وما خلفهم ولا يحيطون بشيء تمن عليه إلا بما شاء وبيع گزيه الشوي ور ولا وده حفظهما وهو العلى العلیه
که ہند الله الرحمن الجبر یا رب ارقب البستان على جميع الخلائق ذكورا وإناثا حرة وعبدة كبيرة أو صغيرة جيرانا وأهلا وجميع الحيوانات اللهم احفظ بستان *(فلان ابن فلانة)* بتوفيقك بحق وإياك نعبد وإياك سوي فيه وبحق لا إله إلا الله الملك القهار يا حي يا قيوم . بسم الله الرحمن الرحيم الأول والآخر والظاهر والباطن يا من هو الواحد الصمد الذي لم يلد ولم يولد ولم يكن له كفوا أحد بالذي يمسك السماء أن تقع على الأرض إلا بإذنه إن الله بالناس لرؤوف رحيم .
Ukisha andika maneno haya na hapo sehemu nilio weka mabano alafu kuna kivuri hapo *(fulan bin fulan)* mfano kama 👈 basi ni sehemu pa kuweka jina la mwenye shamba, eneo, biashara baada ya hapo utakunja kunja hiyo talasim lako ulio andika kwenye mti huo wa Ndago kwa kutumia zafaran nyeusi(wino wa ngisi) au peni nyeusi nk.
Nasi utachukua tunda la komamanga utalitoboa upande mmoja na utatoa kila kilichomo ndani na kuweka hili talasim lako,
Na hapo sasa utazima na nta au mshumaa au kitambaa cheusi na baada ya hapo utaisomea dua yoyote ile mzuri hata kama ni Jaushan, ahral badir nk.
Baada ya hapo utatia manuizi yako na nenda ukazike katikati ya eneo lako la shamba au eneo unalo kusudia mwizi asiingie.
Dua hii itamfanya mwizi akiingia asitoke mpaka kwa idhini ya mwenye eneo kwa hakika mungu ni mkubwa sana.
Huyo nti ni huo hapo mfano wake ndio mndago sijui kwenu mnaueitaje?.
Muandaaji ni babu bidabida mtalaam wa tiba asili africa. +255765458910
Comments
Post a Comment