ELIMU YA RAMLI YA MCHANGA
ELIMU YA RAMLI YA MCHANGA epsd (1)
Hii elimu imetoka kwa nabii *IDRISA ALAH SALAM* yeye ni mtu namba 1 kuitumia elimu hii, Elimu hii inatumika popote mda wowote saa yoyote.
Ramli hii inatumika kupiga (kuchora) popote mfano;
1.Mchanga.
2.Ubao.
3.Karatasi.
ASILI YA ELIMU HII.
Elimu hii asili yake imetoka katika tabia kuu 4 zikawekwa tabia hizo kwenye buruji (nyota) 12 na kaukabu (siku) 7 katika vidoti (nukta) 4 au mistari minne (4) au ukivichanganya mistari na nyota.
AINA ZA SHIKERI.
Kuna aina 4 za shikeri maana kila mtu ana usomaji wake na upigaji wake.
Mfano wa shikeri hizo ni...
........ Somo litaendelea (INSHAALLAH).
SOMO HILI LIMETOLEWA NA KUANDIKWA NA BABU BIDABIDA.
+255765458910 babu bidabida.
+255718946668 secretary wa babu bidabida.
Mbn somo haliendelei?
ReplyDelete