Posts
MUFLISI (KUMTIA MTU UMASIKINI).
- Get link
- X
- Other Apps
*MUFLISI (UMASIKINI)* Hii ni talasimu ya IMAMU GHAZAR kitabu chake kikubwa (page 1602.). Mwandishi anasema kuwa kama ikitokea unataka umfirisi mtu kuanzia mali zake pesa zake nk. Basi chukua yai viza kisha litoboe vizuri banisa kwa pini or kwa kitu chochote kile ila tu kiweze kutoboka bila kupasuka baada ya hapo chora talasim hii kwa kutumia winno mweusi iwe siku ya jumanne or jumamoss saa 1 asubui au saa nane mchana baada ya hapo zungushia manuizi uyatakayo mfano *WEWE JINN LA MUFILISI KUANZIA LEO NAMFUNGA FULAN BINT/BIN MAWAZO YAKE AKILI ZAKE PAMOJA NA MALI ZAKE ZOTE KUANZIA LEO AWE MASIKINI WA KUTUPWA* Haya ni baadhi tu ya manuizi kulingana na wewe unavyo taka iwe faida za talasim hii ..... 1INAMFILISI ADUI YAKO. 2INATIA KICHAA. 3INAMFUNGA MTU MUME OR MKE ASIZINI NJE YA NDOA. 4INAFUNGA NYUMBA, SHAMBA, BIASHARA NK. 5KINGA ZIDI YA WACHAWI, WEZI, MAJAMBAZI. 6KUMUAMISHA MTU. 7KUMTIA MTU NUKSI KALI KAMA RADI. Talasim hii manuizi yako ndio kila kitu baada ya kumaliza kuchora na kuwe ma
MUHURI WA SHETANI.
- Get link
- X
- Other Apps
*MUHURI WA SHETANI* Ikitokea mmoja wenu anataman mari za dunia basi hii ni njia bora sana kwake leo nawaibia siri toka kwa magroup ya watu wazima sio kiumli apana ni kiuganga. Kama mmoja wenu anaitaji kuwa na pesa mfano hata za babu bidabida basi kubwa inaitajika akau print mchoro huu kama ulivyo kisha kwa pembeni maa talasim hii azungushie manuizi ayatakayo mfano *JINI LA PESA NATAKA UNIPATIE PESA CHEO NA UMAHARUFU KUTOKA KONA ZOTE ZA DUNIA NI MIMI FULANI BIN/BINT FULANI* ila hakikisha manuizi unachora kwa kutumia damu yako mwenyewe inamaana utajikata kidogo ili upate damu na siku yake ya kuiyandaa iwe IJUMAA baada ya kutoka watu msikitini kabla ya kufika saa9 jion . Baada ya kuaanda unatakiwa uipe kafara ya udi unao nukia sanaaah! Wowote ule na ubani unao nukia sana hata kama ni SANDAL au AMBALI. Kumbuka ukiwa unafusha unanuizia vile utakavyo wewe kuhusu dunia TU. kisha ishone azima nje kitamaa cha kushonea kiwe ni PESA ya nchi yako ya karatasi(note) iwe kubwa kupita zote.
DHWAMIT NI JINI LA PESA NA MALI ZA HARAKA SANA.
- Get link
- X
- Other Apps
Jini huyu anaitwa DADHWAT hawa ni miongoni mwa majini kwa mfumo wa number wapo 9 kwa mfumo wa alfabet wapo 28 majini hawa asili yao ni Misirii Walikuwa wakitumika kwa shughuli mbalimbali enzi za uhai wa manabii mbalimbali jini huyu kama unavyo muona hapo kwanza anambawa na mapembe kafara zao ni UBANI, UDI pamoja na mishupa ya farasi dume. Uzuri wao hawa huwa chakula wanajitafutia wenyewe na wanauwezo wa kumtajirisha mtu mara moja kama tu mtu atakuwa makini nao. Jini huyu DWAMIT Anakazi nyingi sana ukiacha kumpa mtu pesa nk, KAZI ZA JINI HUYU. •Anampa mtu pesa kwa idadi anayo panga jinni. •Anaita mke/mme/ndugu alie toroka au kukimbia nyumbani. •Anavuta wateja katika biashara yako. •Zinamfunga mfanya kazi/mpenzi/mume/mke au mahusiano yenu ili waziweze vizabi zabina kuingia. •Zindiko la kushika wezi/wachawi nk. •Jini huyu anauwezo wa kumfunga mtu ili asiweze kukufanyia chochote kile kibaya. •Anaweza kukufanya kupendwa na kila mtu. •Anauwezo wa kukufanya kukubalika
LIMBWATA LA MAPENZI.
- Get link
- X
- Other Apps
LIMBWATA LA MAPENZI Hili ni talasimu la mapenzi ambalo linaingia katika mapenzi faida zake kwanza......... Endapo utakapo chora talasimu hii na hapo katikati kwenye duala unaandika jina la huyo mwanamke wako au mwanaume wako kisha loweka katika maji na maji hayo anywe mtu wako ni limbwata tosha. 2 hii ni talasimu ya mapenzi kama utachora 7 na ndani ukafunga na filifil , pilipili manga nyeupe. Kisha ukawa unachoma kila siku kwa manuzi ya kumuita hakika utaona jabu. 3 talasimu hii kama utachora na ukaweka jina hapo kati kati kwenye neno FULANI BINT/BIN FULANI usiandike hilo neno ni pahala pa kukaa jina. Kisha ukachimbia chini ya mrango wako hakika mpenzi wako hato toka hii ina kazi nyingi kweli . Somo hili limeandikwa na kutolewa na BABU BIDABIDA MTALAAM WA TIBA ASILI AFRICA +255765458910.
MEDITATION by BABU BIDABIDA.
- Get link
- X
- Other Apps
MEDITATION ========== Meditation: Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia kama ikitokea utashindwa kusoma ukaisi uvivu basi nenda katika youtube chanel yangu ya babu bidabida online tv basi utasikiliza na kujifunza kwa uwangalifu sana pasi na shaka. Chimbuko/historia ya meditation: Babu bidabida anasema neno likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo limetokana na neno la kilatini linaloitwa 'meditatio' likiwa na maana ya mazoezi ya mwili na akili. Asili ya meditation ni dini za mashariki. Ilianzia huko Asia zaidi ya miaka 5,000 iliyopita. Kwa sasa meditation hufanywa zaidi huko magharibi (Ulaya na Marekani). meditation ya miaka hii (ya wakati huu), inazungumzia zaidi meditation ya kiyoga ambayo asili yake ni huko India. Kwa ujumla,meditation inaelezwa kama njia za uzingativu katika jambo ambalo mawazo yamelinuia. Lakini pia inaweza kuelezwa kama ifuatavyo: => Ni hali ya uzingativu na utulivu katika hali halisi ya waka
KINGA YA AJALI, MOTO, WEZI, UCHAWI, MAJINI NK.
- Get link
- X
- Other Apps
*KINGA YA AJALI, MOTO, WEZI, UCHAWI, MAJINI NK.* Talasimu hii utaichora siku ya ijumaa kwa wino mwekundu kisha isomee surat IKRASWI x313 kisha ipakae mafuta ya mzaituni na uifunge kama azima kisha isomee BISMILLAH RAHMANI RRAHIM X701 kisha uwe nayo kama azima yako , na kama unataka kukinga chombo chako cha moto ifiche ndani ya chombo , kama unataka kuzindika mji basi funga pamoja na mchanaga wa mji kisha zindika kwa kufukia katika ya mji, hakika hawezi kuingia mwiz wala jambazi. *talasimu ndio hiyo hapo 👆👆 imetolewa na kuelezwa na babu naam wasiliana na mimi kwa simu no +255765458910