Posts

MLANGO WA MAHABA

Image
  *MLANGO WA MAHABA* Ukiandika neno hili katika ngozi za korodani zako na ukabahatika kumuingilia mwanamke unaempenda kutoka moyoni, kwa hakika mtu huyo hatoweza kukuacha mpaka mnaingia kabulini hata kama mkigombani mpaka kufikia kutupiana vitu nje hatoweza kuondoka abadani.  *Itumie vizuri kwani hii ni hatari* Somo hili limetolewa na babu bidabida  +255765458910

Kitabu cha MWAKUYONGA.

Image
  *kitabu cha  MWAKUYONGA* *YALIYOMO*……………….1.Utangulizi wa muandishi…… 2.Usia wa mwandishi…………..3.Kuvuruga kinga ya adui………4.kumchapa adui yako[mwizi]...... 5.Kuuwa nguvu za mwizi wa kichawi…… 6.Kuharibu mali za adui yako…….. 7.Kulipiza kisasi[mwakuyonga]………8.Kumuazibu mwizi alie kuibia…….. 9.Kumtesa mwizi/adui yako……….. 10.Jinsi ya kufarakanisha ngome…….. 11.Kumchapa mwizi kichaa cha kudum…… 12.Kumdhuru adui anae kusumbua sana…….13.kuwaona majini na kuwa tuma kazi…… 14.Kumtia mtu maradhi unayo yataka……. 16.Faraka ya kutenganisha kitu haram…… 17.Kurudisha kitu kilicho ibiwa…….. 18.Jinsi ya kuweka tego za aina 3…….. 19.Opo la kutengua vitu vyote hivyo…… 20.Opo la kutengua uchawi ulio mfanyia mtu..21.HITIMISHO…………………… Kitabu hichi bei yake ni elfu  40,000/=Tshs ni sawa na 1,870/=Kshs ni sawa na 18$. Offer ya mwana group la babu bidabida kuanzia group 1-3 utalipia elfu 35,000/Tshs. Utajipatia copy yako safi kabisa.

ULIMWENGU WA TALASIMU no2

Image
  *ULIMWENGU WA TALASIMU NO2* *YALIYOMO………….UKURASA*:1.Utangulizi……….4-5-6 2.Mlango wa mapenzi no1…6-7 3.Kufungua vifungo kwa kutumia ayat kurusi…7-8 4.Milango ya mapenzi 7...9-10-21 5.Njia ya kukubalika katika kazi zako……21-22 6.Talasim la kutongozea wanawake/wanaume..23 7.Kumtupia mtu uchawi…24-25 8.Kumuangamiza adui…….25-26-27 9.Jinsi ya kufunga mwizi mkojo…….28 10.Kinga ya mapenzi……...29-30 11.Namna ya kufarakanisha…..30-31 12.Kupata upendo……..32-33 13.Ukitaka akupende sana mtu misiri ya kichaa..34 14.Kumuharibia adui yako maisha yake..35 15.Kufunga ndimi za watu………..36 16.Talasimu ya kukidhiwa shida zako zote….37-38 17.Talasimu ya kumuua jinni mchafu mwilini…39 18.Hifadhi na kinga kubwa ..40-41 19.Talasimu ya kutibu maradhi…..42 20.Talasimu ya kukata gogo{hatari}…….43-44 21.Talasim ya uchawi[zohar]…….45-46 22.HITIMISHO…………..47-49. KITABU HIKI NI TOLEO LA PILI KILICHO JAA MAMBO MENGI MAZITO YA KHERY NA SHARI MTUNZI; BABU BIDABIDA. KITABU HIKI UTAKIPATA KWA GARAMA YA ELFU 30,000/=Ts

MLANGO WA NDOA

Image
 *MLANGO WA NDOA* Ikiwa manamke umekaa nyumbani sana na ujaolewa mpaka una zee kea nyumbani basi fanya hivi,  chukua peni andika talasimu hii X7 katika karatasi nyeupe kisha karatasi hiyo isomee inaanzarnahu x41 kama unaweza.  Kisha itundike mlangoni kwenu kwa hakika wanaume wenye kutaka kuowa watajitokeza kukuchumbia inahaallah. Somo hili limeandikwa na babu bidabida.

KUTAPISHA UCHAWI.

Image
 *KUUTAPISHA UCHAWI* Najua walio wengi wanataka elim hii ukiacha kutima mkumbi ukichanganya na mshaka uchawi na mfureta ukampa mtu anywe basi leo tazama njia hii mujarabu kwa sababu ni mwezi mtukufu basi tunaenda kiaya aya tu mpaka kieleweke. Naam nunua mayai fresh yawe 7 na mayai hayo kila yai moja linaitajika uchemshe siku moja lakini kila yai unaitajika kuliandika aya hizi. Anza sasa kwa kuchora kwa makapeni. Yai la 1 andika hivi   بسم الله الرحمن الرحیم فلما ألقوا سحروا أعين الناس واسترهبوهم وجاؤوا بسحر عظيم أوحينا إلى موسى أن ألق عصاك فإذا هي تلقف ما بأنكون فوقع الحق وبطل ما كانوا يعملون للطهطيل Na yai la 2 andika hivi. بسم الله الرحمن الرحيم قال موسى ما جئتم به من السحر إن الله سيبطله إن الله لا يصلح عمل المفسدين ويحق الله الحق بكلماته ولو كره المجرمون الا مهطهطيل Na yai la 3 andika hivi. بسم الله الرحمن الرحيم أو لم ير الذين كفروا أن السموات والأرض كانتا رتقا ففتقناهما فقدمنا إلى ما عملوا من عمل فجعلناه هباء منثورا نهطهطيل Na yai la 4 andika hivi. الله الرحمن الرحيم كتب الله لأغ

KUWA NA KIPATO

Image
  *KUWA NA KIPATO*  Nimepata malalamiko mengi sana kuhusiana na kipato sasa leo nimeona nitoe sadaka hii kwanza na wewe ufaidike   Andaa talasim hii siku ya mapenzi aijalishi iwe nilini? Kuwa nayo hii talasim ukiwa umeandika kwa kutumia zafarani ilio changanywa na rose marash pamoja na misk. Baada ya hapo kuwa nayo hii azima ila kila siku uwe unatamka maneno haya X50 *"ALLAH NUUR AL-SAMAWAT WAL ARDHI"* Kwa hakika utaona fedha itakavyo funguka. Somo hili limetolewa na babu bidabida. +255765458910

MAAJABU YA JINI WA PESA

Image
                *LEO TUONE MAAJABU YA JINI WA PESA*       Unajua kuna aina nyingi sana ya majini wapo kalibuni bilioni na mabilioni lakin wenye maana ni wachache kwel kwel sasa usizani kila jini anaita pesa 😃       Kuna waganga Leo hii wame kuwa wakitaka sifa sana mbele za watu,NA jua kwanza hata majini wapo wa aina 2  Aina ya KWANZA ni waganga matapeli waganga hawa wanaishara nyingi sana za kuwajua pia vile vile mpaka unashindwa kuchambua maana watu sasa hivi uganga wamefanya ajira lakini aina ya pili ni waganga wa ukwel waganga hawa utawajua kwa macho tu pamoja na kazi zao wanazo zifanya pia vile vile kama wew unataka kuwatambua hawa nikazi mpaka uwangaike kwel kwel ila Leo sipo huko maana hata uganga upo wa aina mbili kuna wa miti uganga huu unahusika na tunguri kwa sana kitabu kwa mbali ila uganga wa pili kuna wa kitabu hawa kusoma ni sana hata miti shamba wanatumia miwili mitatu ,   Sasa basi hata majini ndio wapo hivyo hivyo  Kuna majini wa ukwel na wasio kuwa wa ukwel je utawaj