Posts

NDERE NI NINI?

Image
  Ndere - Ni rugha inayotoka mkoa wa tanga, Ni mkusanyiko wa dawa za mivuto ambazo zilizo kusanywa na kuwekwa pamoja ambazo ndizo zilizo pewa jina la ndere.    Neno ndere- limekuwa maarufu tanzania na africa mashariki kiujumla kwa kutokana na sifa zake huko mitaani zinazo vuma. Neno ndere ni neno lililo kusanya rugha ya makabila yote ya mkoa wa tanga na kenya Mfano wa makabila hayo ni KISEGEJU, KISAMBAA, KIDIGO, KIDURUMA, KITAITA nk... Ndere- ni kama tulivyo sema hapo awali ni miti pamoja na vizimba ambayo kwa imani ya watu wa tanga tangu enzi za mababu na mabibi zikiwa zinatumiwa miti hiyo na vizimba kama ni mvuto.  Vizimba ni nini? Vizimba - Ni vitu hadimu kupatikana katika maswala ya tiba za asili mfano wa vizimba zikiwemo ngozi za wanyama aina zote, miti, pamoja na vitu baadhi ambavyo utakavyo agizwa na mganga kuvipata ni kwa ugumu sana hivyo ndio vizimba. (Mfano mvupi mganga atakuambia kwa hiyo shida yako inatakiwa upate fundiro ya fungo ndio utapona, sasa hiyo fundiro ndio kizimb

ELIMU YA RAMLI YA MCHANGA

 ELIMU YA RAMLI YA MCHANGA epsd (1) Hii elimu imetoka kwa nabii *IDRISA ALAH SALAM*  yeye ni mtu namba 1 kuitumia elimu hii,  Elimu hii inatumika popote mda wowote saa yoyote. Ramli hii inatumika kupiga (kuchora) popote mfano; 1.Mchanga. 2.Ubao. 3.Karatasi.  ASILI YA ELIMU HII. Elimu hii asili yake imetoka katika tabia kuu 4 zikawekwa  tabia hizo kwenye buruji (nyota) 12 na kaukabu (siku) 7 katika vidoti (nukta) 4 au mistari minne (4) au ukivichanganya mistari na nyota.    AINA ZA SHIKERI. Kuna aina 4 za shikeri maana kila mtu ana usomaji wake na upigaji wake.    Mfano wa shikeri hizo ni... ........  Somo litaendelea (INSHAALLAH).  SOMO HILI LIMETOLEWA NA KUANDIKWA NA BABU BIDABIDA. +255765458910 babu bidabida. +255718946668 secretary wa babu bidabida.

MLANGO WA BIASHARA

Image
  *MLANGO WA BIASHARA* Andika huu waqfu baada ya sala ya ijumaa kisha weka katika sehemu yako ya biashara. Kwahakika wateja watakuja kwa wingi hata kama kulikuwa na kofuri inshaallah. Somo hili limeandikwa na kutolewa na babu bidabida.

MLANGO WA FARAKA

Image
  MLANGO WA FARAKA Ukitaka watu wawili wafarakane iwe ni haramu kwao basi fanya hivi chora talasimu hii (photo copy), kisha kwenye paji la uso wa jinni huyu andika jina la mhusika mmoja na jina la mzazi wake na chini ya mapaja yaani baina ya paja la huku na la huku hapo kati weka na jina la mmoja wao tena na la mzazi wake na baada ya hapo talasimu hii inachomwa moto iwe aiku ya jumanne saa moja asubui au saa nane mchana au saa tatu usiku. Kabla ya hapo ifushe kwa miat saira au unga wa mmavimavi huku ukiwa unanuia mambo mabaya ya kufarakanisha baina ya hao watu wawili kisha ndio uchome moto. NB. Hii ni shiriki kama ukifanya kwa ubaya mimi sipo. Somo hili limeandikwa na kutolewa na babu bidabida.

DUA YA JUMJUMIYA

 NA HII NDIO DUA YA JUMJUMIYA. بس الله الرحمن الرحيم اللهم إني أجت وأجهزت وأجهزت لهذا الجمع يتجرعه ولا يكاد يسيغه ويايه الموت من كل مكان وما هو ميت وين وائه عذاب غليظ ، اللهم إني أسألك بالمجمعة وبأسماء الله القوية قيم المبلة ألم تر إلى الذين خرجوا من ديارهم وهم ألوف حذر الموت فقال لهم الله مؤثوا وترابهم الهندية واليهم الشرونية وتحدثهم المبلة ، " واتل عليهم نبأ ابني آدم بالحق إذ قبا قبائا فتقبل من أحدهما ولم يتقبل من الآخر قال لا قتلك قال إنما تقبل الله من المقين ، بين بسطت إلى يدك لتقليني ما أنا بباسط يدي إليك الأقل إني أخاف الله رب العالمين ، إلي أريد أن تبوءا بإثمي وإثيك فتكون من أصحاب النار وذالك جراء الظالمين قطوعت له ته قتل أخيه فقتله فأصبح من الخاسرين ، فبعث الله غرابا يبحث في الأرض ليريه كيف يواري سوأة أخيه فأصبح من التامين ، من أجل ذالك كتبنا على بني إشرآئيل أن من قتل نفسا بغير نفس أو فاير في الأرض فكأنما قتل الناس جميعا ومن أحياها فكأنما أحيا الناس جميعا ، ولقد جا هم شنا بالبينات ثم إن كبيرا منهم بعد ذالك في الأرض لمشرفون يا ځيؤم مملؤم كاشي حاج ملاردو زغرعة طططط گھا اللهم

MLANGO WA MAHABA

Image
  *MLANGO WA MAHABA* Ukiandika neno hili katika ngozi za korodani zako na ukabahatika kumuingilia mwanamke unaempenda kutoka moyoni, kwa hakika mtu huyo hatoweza kukuacha mpaka mnaingia kabulini hata kama mkigombani mpaka kufikia kutupiana vitu nje hatoweza kuondoka abadani.  *Itumie vizuri kwani hii ni hatari* Somo hili limetolewa na babu bidabida  +255765458910

Kitabu cha MWAKUYONGA.

Image
  *kitabu cha  MWAKUYONGA* *YALIYOMO*……………….1.Utangulizi wa muandishi…… 2.Usia wa mwandishi…………..3.Kuvuruga kinga ya adui………4.kumchapa adui yako[mwizi]...... 5.Kuuwa nguvu za mwizi wa kichawi…… 6.Kuharibu mali za adui yako…….. 7.Kulipiza kisasi[mwakuyonga]………8.Kumuazibu mwizi alie kuibia…….. 9.Kumtesa mwizi/adui yako……….. 10.Jinsi ya kufarakanisha ngome…….. 11.Kumchapa mwizi kichaa cha kudum…… 12.Kumdhuru adui anae kusumbua sana…….13.kuwaona majini na kuwa tuma kazi…… 14.Kumtia mtu maradhi unayo yataka……. 16.Faraka ya kutenganisha kitu haram…… 17.Kurudisha kitu kilicho ibiwa…….. 18.Jinsi ya kuweka tego za aina 3…….. 19.Opo la kutengua vitu vyote hivyo…… 20.Opo la kutengua uchawi ulio mfanyia mtu..21.HITIMISHO…………………… Kitabu hichi bei yake ni elfu  40,000/=Tshs ni sawa na 1,870/=Kshs ni sawa na 18$. Offer ya mwana group la babu bidabida kuanzia group 1-3 utalipia elfu 35,000/Tshs. Utajipatia copy yako safi kabisa.