Posts

MAAJABU YA MNANAA KITIBA ASILI BY BABU BIDABIDA

Image
MNANAA NA KAZI ZAKE KITIBA Huu ni mnana or tarumbeta la shetani mti huu una kazi nyingi sana kwani unauwezo wa kumwita mtu alie mbali kama utapata unga wa majani yake ukichanganya na MWITA, MLIPU, MVUTE, MWARAKA, MDAULA hapo utaweza kumudu na wito wa mapenzi mteja kwenye biashara yako kama unataka kumvuta mpenzi choma usiku wa saa6 ukiwa uchi wa unyama huku ukiwa unamuita umpendae "WEWE MNANAA WEWE NI FIRIMBI YA KUZIMU KAMA KUNA MTU HATO LISIKIA BARAGUMU BASI NA HUYU ASISIKIE SAUTI YANGU MIMI FULANI MZALIWA WA FULANI NAMUITA , ILA KAMA BARAGUMU LINASIKIKA BASI NA MIMI HUYU FULANI MZALIWA WA FULANI ANISIKIE NA ANIITIKE KUANZIA LEO HII NAMBADILISHA KUWA MWENDA WAZIMU WA MAPENZI AKILI YAKE ILALE KAMA MNANA UNAVYO WEZA KUWALALISHA WENYENYUMBA WEIZI WAPATE KUIBA BASI NA MIMI NAITAJI AJE HUYU MAWAZO YAKE YOTE ANIFIKILIE MIMI NANIWAZE MIMI KILA AKAAPO NA KILA ALALAPO YEYE FIKILA ZAKE ZIWE JUU YANGU MIMI WEWE FULANI BIN/BINT FULANI NAKUITA KWA NGUVU ZA MOTO, UDONGO,MAJI PAMOJA NA UPEP

MAJAABU YA SURAT QADRI

MAJAABU YA SURAT QADRI     Endapo umepata mwanamke ajawai kuolewa na anataka aolewe basi fanya njia hii au ukimpata mwanamke anataka apendwe sana na wanaumee wa mpapanie or mwanaume anataka apendwe sana na wanawake wa mpapatikie kila anapo pita basi andika kombe la surat QADRI  or inaanzarnahu fiih rayratu rkadrii  yote kwa kutumia zafarani kisha loweka na atumie kunawa usoni kila amkapo asubui kwa siku 7 hakika atap apatikiwa na watu mpaka atashangaaah Naam kuwa makini sana kwani tuna muda mchache wa aada yako kijana wangu ulio ilipaa sasa kuwa makini usipoteze notes na kuwa na peni na daftari kuandika sawa sawa by babu bidabida.

CC TV CAMERA'S./TEGO LA NDOA

Image
NI TEGO LA KUTEGA MKE OR MUME. Hii ni tiba mzuri sana kwani unaweza ukafahamu kitu kilichopo kinacho kuja na kilicho pita wote kwa muda mmoja , Njia hii imewasaidia wengi sana na nimeamua kuiweka njia hii kwa sababu kubwa watu Leo hii wakiota hawakumbuki kuwa waliota nini? Na kuna wengine hawaoti kabsa kwaiyo talasimu hii itakufanya uwote kile unacho kikusudia    Unatakiwa kwanza uwe msafi pindi unavyo andika talasimu hii na unatakiwa uwashe UDI pindi unayo andika talasimu hii na kuandika waweza kuandika kwa peni yenye rangi nyekundu ndio mzuri or ranging ya kijani talasimu hii inafanya kazi nyingi sana kama wew ni mganga jiongeze itakusaidia sana kwani hapo kwenye mstari mwekundu unatakiwa uwandike jina lako kama wew ndio unaitaji kufahamu yatakayo kufika na kufahamu kila kinacho kuna hii talasimu inamilikiwa na majini wa maono na kazi yao ni ya uganga wa utabili na talasimu hii inamilikiwa na jina LA Allah na rahmani talasimu hii inamilikiwa na malaika mkunwa sana pind

MVUTO WA AJABU WA BIASHARA .

DAWA KIBOKO YA MVUTO. dawa hii ni ya miti dawa hii ni kibojo ya biashara kama wewe ni mama ntirie(muza chakula) mfanya biashara wa aina yoyote basi hili ni bomu lako ili likulipukie , hii dawa niliwai toa humu kipindi hicho na watu waliizarau kwakua hawakuniamin lakin hii nasema utaangaika nadawa za mivuto hili ni bomu kama wewe una frem, kiringe, biashara ya kutembeza , umachinga nk haki ya allah iko juu yetu wana imani nae ni mwingi wa muelevu nenda duka la asili kanunue 1LUHAHO 2MLIPU 3MCHEKA 4MWINAMO 5MVUTE 6KINAMATA. dawa hii itumie kwa kuchoma kama sehemu yako ya biashara inaruhusu kuchoma , pakaa dawa hii kila siku asubui ila ukiwa umechanganya kwenye mafuta NAZI , ndugu yangu pakaa kwa manuizi ya mvute hata kama wewe kazin kwako hukuwai kuoanda cheo basi hii ni mwisho wao utapanda , na umefukuzwa kazi alafu huerewi kuwa nini manta sababu basi hili ni ponyo sina mengi fanyeni ili mufaidike na nyinyi by babu bidabida tiba na ushauri fika buza kwa mama kibonge pia babu

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

Image
MAAJABU YA SURATI MARYAMU. Sura hii ni ya 19 Ina aya 98. Sura hii ina maajabu makubwa sana kwani sura hii ukisoma X99 chochote utakacho basi kinakiwa papo hapo hivyo basi sura hii inapiga herri na shari mfano wa surah hii inauwezo wa kufanya maajabu haya..... 1KURUDISHA KUMBUKUMBU. (Bas andika sutlra hii aya ya kwanza mapa ya saba kisha isomee mara 99 kisha mpe kombe hilo kwa hakika atakuwa kama sumaku). 2MATATZO YA UCHAWI /MAJIN WACHAFU basi andika sura hii aya ya kwanza hadi ya 27 basi somea abjadi X113 Kisha changanya na altiti na chumvi mawe kisha mpe anywe alie athirika na uchawi anywe na kuipakaa kutwa X3 siku 7 basi lazima apone ugonjwa wowote ule ). 3KUPATA SIRI ZA MUNGU (soma surah hii mara 99 kila siku basi utapata siri zote za mungu ila iwe siri yako ). 4KUKIZIWA HAJA( mada hii nisha sema juu☝☝). 5kufutiwa zambi (dua hii au sura hii ukisoma aya ya 5 mara 1000 kila siku basi unafutiwa zambi zote hata kama ulikiwa na zambi kama povu ra bahari hapa imani ya mungu juu

ELIMU YA MAJINI HII HAPA....¡¡!!

*ELIMU YA JINI SHIVA*    unajua kuna watu wanapenda sana ,kuita majini na viumbe lakini hawajui ama atujui jinsi ya kumu hendo jini ipasavyo kwanza kabisa tambua kuna moones hii ni kwaajiri ya kufanya kazi yako vizuri kabsa na katika masiku haya basi jua jini Wako atakuja haraka sana kwanza mwezi ukiwa umechomoza una siku 2,4,6,8,10,12 or 14 kama Salomon anavyo sema ,na hakuana siku nyengine zaidi .       Mihuri ya wafalme hawa inapaswa kuandikwa katika mzunguki  yaani ndani ya mduala.     Wafalme wanao tawala katika robo 4za mashariki,magharibi,kaskazini na kusini hawataki kuitwa hovyo hovyo isipokuwa katika matukio makubwa.    Mzunguko wa pentagramu utakao utumia wewe kushika or kukaa kama unae muita una muita porini unapaswa kuwa na miguu 9 mpaka 10,na majina ya malaika 4yapaswa kuandikwa kuzunguka mduala Wako.       Hizi ni baadhi tu ya ELIMU ambayo unapaswa kujua jinsi ya waitaji wa majini na sio kila jini eti anatoa utajiri au pesa kwanza tambua ukumuita jini wakike jua ni m

MAAJABU YA SURAT YASINI NO 3

Image
*MAJABU YA SURAT YASINI NO3* Yasini bana nimeamini kuwa ni mama na ni baba wa Qur'an tukufuh kwa sababu hakuna kazi isio Fanya aiseeh Sasa basi nashukuru mungu kwa kuwa nimeamka swalama Niwape na niwamalizie faida za yasini .... *KUWA RAZIMISHA WATEJA WAJE KUNUNUA KWAKO BILA KUPENDA WAO*    yasini anauwezo wa kufanya mteja anunue pahala wala ajatarajia mfano utakuta "MTU anaenda kununua kitu duka Fulani alafu kufika maeneo Yale roho ikafanya paah ngoja nikanunue pale kwanza anaenda kununua or MTU anapita tu hana wala nia ya kununua kitu lakin akipita anga za yule kwenye mvuto huu baai utakuta mwenyewe anapinda mkono anaenda kununua".  Sasa Hii njia zipo nyingi kwanza kuna za matalasimu na za miti pia kuna za visomo sasa Mimi nitafunza za visomo........      Soma kila siku yasini X3 na Surat waqia X11 baada ya swala ya arfajir dua Hii hifungua liziki kwa kasi sana na ukimudu nayo Hiki kisomo kwa muda wa siku 40 mfululizo hakika utakuwa tajiri wa nafsi na roho yaa