Posts

Showing posts from May, 2021

Kitabu cha MWAKUYONGA.

Image
  *kitabu cha  MWAKUYONGA* *YALIYOMO*……………….1.Utangulizi wa muandishi…… 2.Usia wa mwandishi…………..3.Kuvuruga kinga ya adui………4.kumchapa adui yako[mwizi]...... 5.Kuuwa nguvu za mwizi wa kichawi…… 6.Kuharibu mali za adui yako…….. 7.Kulipiza kisasi[mwakuyonga]………8.Kumuazibu mwizi alie kuibia…….. 9.Kumtesa mwizi/adui yako……….. 10.Jinsi ya kufarakanisha ngome…….. 11.Kumchapa mwizi kichaa cha kudum…… 12.Kumdhuru adui anae kusumbua sana…….13.kuwaona majini na kuwa tuma kazi…… 14.Kumtia mtu maradhi unayo yataka……. 16.Faraka ya kutenganisha kitu haram…… 17.Kurudisha kitu kilicho ibiwa…….. 18.Jinsi ya kuweka tego za aina 3…….. 19.Opo la kutengua vitu vyote hivyo…… 20.Opo la kutengua uchawi ulio mfanyia mtu..21.HITIMISHO…………………… Kitabu hichi bei yake ni elfu  40,000/=Tshs ni sawa na 1,870/=Kshs ni sawa na 18$. Offer ya mwana group la babu bidabida kuanzia group 1-3 utalipia elfu 35,000/Tshs. Utajipatia copy yako safi kabisa.

ULIMWENGU WA TALASIMU no2

Image
  *ULIMWENGU WA TALASIMU NO2* *YALIYOMO………….UKURASA*:1.Utangulizi……….4-5-6 2.Mlango wa mapenzi no1…6-7 3.Kufungua vifungo kwa kutumia ayat kurusi…7-8 4.Milango ya mapenzi 7...9-10-21 5.Njia ya kukubalika katika kazi zako……21-22 6.Talasim la kutongozea wanawake/wanaume..23 7.Kumtupia mtu uchawi…24-25 8.Kumuangamiza adui…….25-26-27 9.Jinsi ya kufunga mwizi mkojo…….28 10.Kinga ya mapenzi……...29-30 11.Namna ya kufarakanisha…..30-31 12.Kupata upendo……..32-33 13.Ukitaka akupende sana mtu misiri ya kichaa..34 14.Kumuharibia adui yako maisha yake..35 15.Kufunga ndimi za watu………..36 16.Talasimu ya kukidhiwa shida zako zote….37-38 17.Talasimu ya kumuua jinni mchafu mwilini…39 18.Hifadhi na kinga kubwa ..40-41 19.Talasimu ya kutibu maradhi…..42 20.Talasimu ya kukata gogo{hatari}…….43-44 21.Talasim ya uchawi[zohar]…….45-46 22.HITIMISHO…………..47-49. KITABU HIKI NI TOLEO LA PILI KILICHO JAA MAMBO MENGI MAZITO YA KHERY NA SHARI MTUNZI; BABU BIDABIDA. KITABU HIKI UTAKIPATA KWA GARAMA YA ELFU 30,000/=Ts

MLANGO WA NDOA

Image
 *MLANGO WA NDOA* Ikiwa manamke umekaa nyumbani sana na ujaolewa mpaka una zee kea nyumbani basi fanya hivi,  chukua peni andika talasimu hii X7 katika karatasi nyeupe kisha karatasi hiyo isomee inaanzarnahu x41 kama unaweza.  Kisha itundike mlangoni kwenu kwa hakika wanaume wenye kutaka kuowa watajitokeza kukuchumbia inahaallah. Somo hili limeandikwa na babu bidabida.

KUTAPISHA UCHAWI.

Image
 *KUUTAPISHA UCHAWI* Najua walio wengi wanataka elim hii ukiacha kutima mkumbi ukichanganya na mshaka uchawi na mfureta ukampa mtu anywe basi leo tazama njia hii mujarabu kwa sababu ni mwezi mtukufu basi tunaenda kiaya aya tu mpaka kieleweke. Naam nunua mayai fresh yawe 7 na mayai hayo kila yai moja linaitajika uchemshe siku moja lakini kila yai unaitajika kuliandika aya hizi. Anza sasa kwa kuchora kwa makapeni. Yai la 1 andika hivi   بسم الله الرحمن الرحیم فلما ألقوا سحروا أعين الناس واسترهبوهم وجاؤوا بسحر عظيم أوحينا إلى موسى أن ألق عصاك فإذا هي تلقف ما بأنكون فوقع الحق وبطل ما كانوا يعملون للطهطيل Na yai la 2 andika hivi. بسم الله الرحمن الرحيم قال موسى ما جئتم به من السحر إن الله سيبطله إن الله لا يصلح عمل المفسدين ويحق الله الحق بكلماته ولو كره المجرمون الا مهطهطيل Na yai la 3 andika hivi. بسم الله الرحمن الرحيم أو لم ير الذين كفروا أن السموات والأرض كانتا رتقا ففتقناهما فقدمنا إلى ما عملوا من عمل فجعلناه هباء منثورا نهطهطيل Na yai la 4 andika hivi. الله الرحمن الرحيم كتب الله لأغ

KUWA NA KIPATO

Image
  *KUWA NA KIPATO*  Nimepata malalamiko mengi sana kuhusiana na kipato sasa leo nimeona nitoe sadaka hii kwanza na wewe ufaidike   Andaa talasim hii siku ya mapenzi aijalishi iwe nilini? Kuwa nayo hii talasim ukiwa umeandika kwa kutumia zafarani ilio changanywa na rose marash pamoja na misk. Baada ya hapo kuwa nayo hii azima ila kila siku uwe unatamka maneno haya X50 *"ALLAH NUUR AL-SAMAWAT WAL ARDHI"* Kwa hakika utaona fedha itakavyo funguka. Somo hili limetolewa na babu bidabida. +255765458910

MAAJABU YA JINI WA PESA

Image
                *LEO TUONE MAAJABU YA JINI WA PESA*       Unajua kuna aina nyingi sana ya majini wapo kalibuni bilioni na mabilioni lakin wenye maana ni wachache kwel kwel sasa usizani kila jini anaita pesa 😃       Kuna waganga Leo hii wame kuwa wakitaka sifa sana mbele za watu,NA jua kwanza hata majini wapo wa aina 2  Aina ya KWANZA ni waganga matapeli waganga hawa wanaishara nyingi sana za kuwajua pia vile vile mpaka unashindwa kuchambua maana watu sasa hivi uganga wamefanya ajira lakini aina ya pili ni waganga wa ukwel waganga hawa utawajua kwa macho tu pamoja na kazi zao wanazo zifanya pia vile vile kama wew unataka kuwatambua hawa nikazi mpaka uwangaike kwel kwel ila Leo sipo huko maana hata uganga upo wa aina mbili kuna wa miti uganga huu unahusika na tunguri kwa sana kitabu kwa mbali ila uganga wa pili kuna wa kitabu hawa kusoma ni sana hata miti shamba wanatumia miwili mitatu ,   Sasa basi hata majini ndio wapo hivyo hivyo  Kuna majini wa ukwel na wasio kuwa wa ukwel je utawaj

DAWA YA MGORO, BAWASIRI.

Image
*DAWA YA MGOLO, BAWASIRI*  Dawa hii ni mzuri sana kwa kutumia kama wewe unamatzo ya kupata choo kama cha mbuzi, marendarenda, maumivu makali, kuto pata choo or kwa wiki mara moja,  kutokwa na kinyama mkunduni uvimbe juu ya nyamba za matako Dawa yake ndio hii hapa   1HALILINJI 2SUFA 3HABATSODA 4TANGAWIZI 5SHUBIRI 6ASALI YA NYUKI   andaa dawa hii na kisha tia kwenye hiyo asali ya nyuki ujazo wa kijiko kimoja kwenye asali robo lita tumua kula hakika MGORO utapitea kabsaa na hakuna nini wala nini dawa hii ilisha watibu watu wengi sana sana na kama hutoweza kuitengeneza basi fika dukani kwangu or unatumiwa kokote ulipo kwa bei ya shiringi elfu 45,000/= za kitanzania zipo wala shaka hakuna dawa hii imeandaliwa na dr babu bidabida mtalaam wa tiba asili tz kwa msaada zaidi nenda www.babubidabida.com Njoo whatsapp +255765458910 au ni follow  Insta & facebook BABU BIDABIDA

JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.

Image
  *JINI WA MVUTO WA MALI, BIASHARA NA KIRINGE, NA MWILI WA KIUMBE NK.* Leo tumuangalie huyu jini anaitwa jini BINAA Jini huyu anakazi nyingi sana sana hususani TALASIMU HII YAKE na imeandikwa kwenye vutabu vya MJARUBATI kuwa talasimu yenye nguvu sana dunian ni talasimu ya milango 3 or vyumba 3      👆👆Talasimu hii ni talasimu ya kipekee kabsa na nimewapa kama zawadi juu yenu sasa basi talasimu hii ilikuwa ikitumika na HEBREW huko UGIRIKI talasimu hii inamilikiwa na MASONIKI pia  talasimu inamiliki jina la 3 la FREEMASON ambali ni BINAAH ndani ya talasimu hii kuna majini zaidi 700 neno BINAAH maana yake ni USKIVU, WELEVU, UTULIVU, AKILI, JUHUDI,MVUTO NK.     faida za talasimu kama ifuatavyo  1AKIBEBA MFUNGWA AZIMA HII HAKIKA ATACHIWA. 2MSAFIRI AKIBEBA AZIMA/TALASIMU HII HAKIKA ATAFIKA SALAMA , NA TALASIMU HII UKIWEKA KWENYE KIPANDO HAKITA PATA AJARI. 3IKIWA MWANAMKE ASHIKI MIMBA MPE TALASIMU HII AVAE KWA SIKU 40 ATAPATA MIMBA . 5MTU AKIBEBA AZIMA HII BASI ATAPATA UTUKUFU NA MVUTO WA BI

DUA YA KUKIDHIWA HAJA ZAKO ZOTE.

Image
 *DUA YA KUKIDHIWA AJA ZAKO ZOTE* اللهم يا الله يا الله يا الله يارب يارب يارب، يارحمن يارحيم،  الْقُدُّوسُ السَّلَامُ الْمُؤْمِنُ الْمُهَيْمِنُ الْعَزِيزُ الْجَبَّارُ الْمُتَكَبِّرُ ۚ سُبْحَانَ اللَّهِ عَمَّا يُشْرِكُونَ _ أَفَغَيْرَ دِينِ اللَّهِ يَبْغُونَ وَلَهُ أَسْلَمَ مَنْ فِي السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ طَوْعًا وَكَرْهًا وَإِلَيْهِ يُرْجَعُونَ _ إِنَّمَا أَمْرُهُ إِذَا أَرَادَ شَيْئًا أَن يَقُولَ لَهُ كُن فَيَكُونُ، فَسُبْحَانَ الَّذِي بِيَدِهِ مَلَكُوتُ كُلِّ شَيْءٍ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ، اللهم يافَطَفَطَيَائِلُ يازَرَزَيَائل يامَوْلاَيَائل يامَشَكَيَائل ياكَفْكَيائل ياكَفَيَائل يادَمْدَمَيَائل يامَلَكَيَائل ياتَيْبَيَائل ياتَبْتَيَائل ياعَجَبَيَائل أجبْ لِي يارَوْقَيَائِل _ إِنَّمَا أَمْرُهُ إِذَا أَرَادَ شَيْئًا أَن يَقُولَ لَهُ كُن فَيَكُونُ، فَسُبْحَانَ الَّذِي بِيَدِهِ مَلَكُوتُ كُلِّ شَيْءٍ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ_  جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ، وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا، فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابً

KUMRUDISHA MWIZI

Image
  *KUMRUDISHA MWIZI* Wewe mwanafunzi wa babu bidabida si umeibiwa ? Basi usijar leo hii babu bidabida nimekupa somo hili kwa usemi wa bijana wa leo wanasema conk. Naam sasa basi chora talasim hili na baada ya hapo  tundika katika sehemu palipo ibiwa iwe ktk biashara nyumba shamba nk. Huku ukiwa unasoma dua hii  بسم الله الرحمن الرحيم ، والله على كل شئ قدير ، ولا حول ولا قوة إلا بالله العلي العظيم ، يس ، والقرآن الحكيم ، إنك لمن الممسلين ,  على صراط مستقيم ، تنزيل العزيز الرحيم ، إشر قوما ما أنذر آباؤهم فهم غافلون ، لقد حق القول على أكثرهم فهم لا يؤمنون ، إنا جعلنا في أعناقهم أغلالا فهي إلى الأذان قم قمون ، وجعلنا من بين أيديهم - دا وين خلفهم سدا فأغناهم فهم لا يتضرون ، وسواء عليهم آندرهم أم لم تنذرهم لا يؤمنون ، إنما ژ من اتبع الكر و الرخم بالغيب فبشره بمغفرة وأجر گریم ، إنا تخن تخيي الموتى وتكتب ما قدموا وآثارهم وكل شيء أخضيناه في إقام مبين ، واضرب لهم لا أصحاب القرية إذ جاها المرسون ، إذ أرسلت إليهم التين فكذبوهما فزنا بلب فقالوا إنا إليكم مرسلون ، قالوا ما أنتم إلا بشر فتا وما أن ال

TALASIMU YA AJABU

Image
  *TALASIMU LA AJABU*   naam leo tuangalie kwanza maajabu ya hii talasimu kwanza . Leo hii kuna waganga wanataka macho, maono na pia wanaitaji uganga wa kubashiri ila hawana ukweli kusema baadhi yao lakini sasa wewe mwanafunzi ulie katika group hili la babu bidabida na amini talasim hizi utazikutana katika vitabu vyangu.    Chola talasimu hii kama ilivyo au katoe copy talasim hii kisha kiwa nayo kama azima na talasimu hili litakupa maono juu ya majambo unayo yataka lala nayo kila siku.   Inafaida nyingi sana takasimu hii ila buhuri yake ni UBANI jawi, uddi wa ROSE.  hakikisha kuwa unaisomea talasimu hii SURAT JINNI aya ya kwanza mpaka ya 9 X11 na zungushia manuizi yako unayo yataka.    Faida mbili tatu za hii talasimu.  1.JUA KABSA KAMA UTAIWEKA DUKANI KWAKO HII INAITA WATEJA SANA NA PIA NI KINGA ZIDI YA WACHAWI. 2.NI TALASIMU LA KINGA YA WEZI JUU YA MAJAMBAZI. 3KUNA WATU WANATAFUTA UMAARUFU KWELI.   (chora tembea nayo ila fungia pamoja na ambali nyeupe ama kingozi cha ngekewa ama king

KUMVIMBISHA MWIZI TUMBO

 *KUMVIMBISHA MWIZI*  Ikitokea mmona wenu ameibiwa ama amedhalilishwa na jambo fulani basi usijali chukua njegere nyeusi na uzitie kwenye beseni tia na maji ujazo kulingana na njegere zako ila zinatakiwa njegere zielee kwaiyo swali sunat rihaja na utamswalia mtume X 100 utaanza na astaghafiru x100 utamaliza na ya MUMITU X313  Baada ya hapo sema unataka alie kuibia labda cm ama pesa or chochote kile basi kisikike tumboni mwake kikilia na tumbo limvimbe kama mama mjamzito unatakiwa kusoma ABJADI X1001 na kila ukigika mala 100 utasoma ALAMTARA utakomea panapo sema kaaswifin kisha sema manuizi yako na huku ukiwa kidole chako cha shahada unakichezesha kwenye hayo maji ulizo tosa njegere zako ukisha maliza maji hayo usiyatupe japo kuwa ndani kwako kutatanda harufu ya uwozo ila wala usijar tafuta sehemu mzuri yahifahi na kaa baada ya masaa3 utaona mwizi wako analetwa tena kabebwa kwenye machela na ukisha ona hivyo than utasikia kuwa alivyo kuibia kuwa vikilia tumboni ila uweke manuizi mfano *

TEGO LA KUMSHIKA MWIZI

Image
    TEGO LA KUMSHIKA MWIZI Chukua mti unao itwa papyrus (NDAGO ILIO KOMAA),  bararua kati ili upate upana wa kuweza kuandika maneno haya  ( ۱ ) الله لا إله إلا هو الحي القيوم لا تأ سنة ولا نوم له ما في الشوي وما في الأرض من ذا الذي يشفع عنده إلا بإذني ملم ما بين أيديهم وما خلفهم ولا يحيطون بشيء تمن عليه إلا بما شاء وبيع گزيه الشوي ور ولا وده حفظهما وهو العلى العلیه  که ہند الله الرحمن الجبر یا رب ارقب البستان على جميع الخلائق ذكورا وإناثا حرة وعبدة كبيرة أو صغيرة جيرانا وأهلا وجميع الحيوانات اللهم احفظ بستان *(فلان ابن فلانة)* بتوفيقك بحق وإياك نعبد وإياك سوي فيه وبحق لا إله إلا الله الملك القهار يا حي يا قيوم . بسم الله الرحمن الرحيم الأول والآخر والظاهر والباطن يا من هو الواحد الصمد الذي لم يلد ولم يولد ولم يكن له كفوا أحد بالذي يمسك السماء أن تقع على الأرض إلا بإذنه إن الله بالناس لرؤوف رحيم . Ukisha andika maneno haya na hapo sehemu nilio weka mabano alafu kuna kivuri hapo *(fulan bin fulan)* mfano kama 👈 basi ni sehemu pa kuweka jina la mwenye shamba, eneo, biashara baada ya hapo