Posts

MVUTO WA AJABU WA BIASHARA .

DAWA KIBOKO YA MVUTO. dawa hii ni ya miti dawa hii ni kibojo ya biashara kama wewe ni mama ntirie(muza chakula) mfanya biashara wa aina yoyote basi hili ni bomu lako ili likulipukie , hii dawa niliwai toa humu kipindi hicho na watu waliizarau kwakua hawakuniamin lakin hii nasema utaangaika nadawa za mivuto hili ni bomu kama wewe una frem, kiringe, biashara ya kutembeza , umachinga nk haki ya allah iko juu yetu wana imani nae ni mwingi wa muelevu nenda duka la asili kanunue 1LUHAHO 2MLIPU 3MCHEKA 4MWINAMO 5MVUTE 6KINAMATA. dawa hii itumie kwa kuchoma kama sehemu yako ya biashara inaruhusu kuchoma , pakaa dawa hii kila siku asubui ila ukiwa umechanganya kwenye mafuta NAZI , ndugu yangu pakaa kwa manuizi ya mvute hata kama wewe kazin kwako hukuwai kuoanda cheo basi hii ni mwisho wao utapanda , na umefukuzwa kazi alafu huerewi kuwa nini manta sababu basi hili ni ponyo sina mengi fanyeni ili mufaidike na nyinyi by babu bidabida tiba na ushauri fika buza kwa mama kibonge pia babu

MAJAABU YA SURAT MARYAMU.

Image
MAAJABU YA SURATI MARYAMU. Sura hii ni ya 19 Ina aya 98. Sura hii ina maajabu makubwa sana kwani sura hii ukisoma X99 chochote utakacho basi kinakiwa papo hapo hivyo basi sura hii inapiga herri na shari mfano wa surah hii inauwezo wa kufanya maajabu haya..... 1KURUDISHA KUMBUKUMBU. (Bas andika sutlra hii aya ya kwanza mapa ya saba kisha isomee mara 99 kisha mpe kombe hilo kwa hakika atakuwa kama sumaku). 2MATATZO YA UCHAWI /MAJIN WACHAFU basi andika sura hii aya ya kwanza hadi ya 27 basi somea abjadi X113 Kisha changanya na altiti na chumvi mawe kisha mpe anywe alie athirika na uchawi anywe na kuipakaa kutwa X3 siku 7 basi lazima apone ugonjwa wowote ule ). 3KUPATA SIRI ZA MUNGU (soma surah hii mara 99 kila siku basi utapata siri zote za mungu ila iwe siri yako ). 4KUKIZIWA HAJA( mada hii nisha sema juu☝☝). 5kufutiwa zambi (dua hii au sura hii ukisoma aya ya 5 mara 1000 kila siku basi unafutiwa zambi zote hata kama ulikiwa na zambi kama povu ra bahari hapa imani ya mungu juu

ELIMU YA MAJINI HII HAPA....¡¡!!

*ELIMU YA JINI SHIVA*    unajua kuna watu wanapenda sana ,kuita majini na viumbe lakini hawajui ama atujui jinsi ya kumu hendo jini ipasavyo kwanza kabisa tambua kuna moones hii ni kwaajiri ya kufanya kazi yako vizuri kabsa na katika masiku haya basi jua jini Wako atakuja haraka sana kwanza mwezi ukiwa umechomoza una siku 2,4,6,8,10,12 or 14 kama Salomon anavyo sema ,na hakuana siku nyengine zaidi .       Mihuri ya wafalme hawa inapaswa kuandikwa katika mzunguki  yaani ndani ya mduala.     Wafalme wanao tawala katika robo 4za mashariki,magharibi,kaskazini na kusini hawataki kuitwa hovyo hovyo isipokuwa katika matukio makubwa.    Mzunguko wa pentagramu utakao utumia wewe kushika or kukaa kama unae muita una muita porini unapaswa kuwa na miguu 9 mpaka 10,na majina ya malaika 4yapaswa kuandikwa kuzunguka mduala Wako.       Hizi ni baadhi tu ya ELIMU ambayo unapaswa kujua jinsi ya waitaji wa majini na sio kila jini eti anatoa utajiri au pesa kwanza tambua ukumuita jini wakike jua ni m

MAAJABU YA SURAT YASINI NO 3

Image
*MAJABU YA SURAT YASINI NO3* Yasini bana nimeamini kuwa ni mama na ni baba wa Qur'an tukufuh kwa sababu hakuna kazi isio Fanya aiseeh Sasa basi nashukuru mungu kwa kuwa nimeamka swalama Niwape na niwamalizie faida za yasini .... *KUWA RAZIMISHA WATEJA WAJE KUNUNUA KWAKO BILA KUPENDA WAO*    yasini anauwezo wa kufanya mteja anunue pahala wala ajatarajia mfano utakuta "MTU anaenda kununua kitu duka Fulani alafu kufika maeneo Yale roho ikafanya paah ngoja nikanunue pale kwanza anaenda kununua or MTU anapita tu hana wala nia ya kununua kitu lakin akipita anga za yule kwenye mvuto huu baai utakuta mwenyewe anapinda mkono anaenda kununua".  Sasa Hii njia zipo nyingi kwanza kuna za matalasimu na za miti pia kuna za visomo sasa Mimi nitafunza za visomo........      Soma kila siku yasini X3 na Surat waqia X11 baada ya swala ya arfajir dua Hii hifungua liziki kwa kasi sana na ukimudu nayo Hiki kisomo kwa muda wa siku 40 mfululizo hakika utakuwa tajiri wa nafsi na roho yaa

MAJABU YA SURAT YASINI no2.

*MAJABU YA SURAT YASINI no2* Hii ni dua Kali sana na ni kiboko yao Leo nitaeleza jinsi ya baadhi ya aya za sura hii na inavyo Fanya kazi kindaki ndaki kabisa       Siku lililo pita nilifunza jinsi ya kujifungua kama na wachawi or majini haya miaka 100 lakin utafunguka kwa siku moja tu teNA kwamara moja tu na ukiwa na imani ya mungu ,...    Sasa basi jambo LA kwanza ukiitaji *KUZIDISHA BAHATI KWWNYE KAZI ZAKO*   hii ni njia pekee kabisa maana hii unaIdisha bahati kwenye maisha yako yani wew utakuwa unathaminiwa sana na mabosi na utakuwa unapesa mzuri sana ....    Katika kikapu chako cha kutunzia pesa kila siku baada ya swala ya alfajir soma aya ya pili Ya Surat ya sini X100 hakika Mali ZAKO zitazidi kwa njia ya ajabu sana na utapendwa na watu na watu wa mji wako na mji wako utakuwa na baraka zi sizo kuwa na mfano. *JINSI YA KUMTIBU KICHAA* kama una ndugu yako mule or mkee or haya mteja wako ni anaugonjwa wa akili yaani kichaa basi usisite Tina IPO na anapona kabisa wala shaka

MAJABU YA SURAT YASINI no1.

MAAJABU YA SURAT YASINI NO1. Hii ni sura ya albadir dua hii ni kiboko na inafanya kazi zote duniani kasoro kumrudisha Mzee kuwa kijana na kutibu ukimwi lakin maradhisugu mengine yanatibika kwa haraka sana Nini maana ya yasini ? Yasini ni Nina ambalo tukufu na katika watoto ama wajukuu wamitume ndio alikuwa akiitwa yaasin pia yasini anasifa kubwa sana na yasini ni surati kubwa yenye maajabu makubwa maana ukitaka kuisoma arbadiri basi utaiyusisha hii sura kama ukiacha mzumguko WA abjade or wasirat safii or kanjir alshi,jaushen kabiri nk hivi ni baadhi ya vitqbu VYA albadir .......kwanza kabisa ndugu msomaji WA nakara zangu hizi ni Mimi babu bidabida unatakiwa use na imani kubwa sana maana Qur'an ni kinga kama utaweza kuitumia vizuri amini kwanza mungu yupo na unapo soma amin  kuwa maraika na majini wema wanafika hapo na wanakuuliza ni nini unataka kutoka kwa mola wako mlezi ,kwaiyo andaa mahali pa kufanyia kazi yako pawe pasafi sana na mavazi yako yawe masafi sana pia nimetangul

TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU.

Image
*TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU* ukwaju ni mti mzuri sana na unamajina mengi kwa kutokana na pahari sehemu ulipo mfano Ukwaju kwa rugha ya kilatini unaitwa TAMARINDUS, pia ukija kwa wahindu wanamajina yao IMLI, na pia kwa kingereza wanauwita TAMARIND TREE, hizi ni baadhi ya nchi na wanavyo uwita na ukija tz wanauwita UKWAJU,UKWASU,MATE MATAMU,NCHWACHU,SHINK MEREMERE haya ni majina baadhi ya rugha na jinsi wanavyo uwita mti huu wa ukwaju mti wa ukwaju unatumika kwenye kazi nyingi mfano kutoa majini fusho LA majini pia unaingia kwenye zindiko LA kufanya mchawi akiingia apigwe bakora mpaka akome na kazi nyingi sana za kupiga mangu mti huu ni wa bakora yaan mkwaju ni MUAZIBU WANGA ,ila Leo kwa vile mwwzi mtukufu basi tuone kwwnye tiba mkwaju unatumika kwenye KUTIBU maradhi mbali mbali MFANO majani ya ukwaju yanatibu fangasi,kusafisha kibofu cha mkojo,KUTIBU MAUMIVU ya viungo mwilini. MAGOME NA MIZIZ tatzo labkukosa choose,matatzo katika TUMBO,tatzo LA gesi,figo,pamoja na U.T.I b