ELIMU YA MAJINI HII HAPA....¡¡!!
*ELIMU YA JINI SHIVA* unajua kuna watu wanapenda sana ,kuita majini na viumbe lakini hawajui ama atujui jinsi ya kumu hendo jini ipasavyo kwanza kabisa tambua kuna moones hii ni kwaajiri ya kufanya kazi yako vizuri kabsa na katika masiku haya basi jua jini Wako atakuja haraka sana kwanza mwezi ukiwa umechomoza una siku 2,4,6,8,10,12 or 14 kama Salomon anavyo sema ,na hakuana siku nyengine zaidi . Mihuri ya wafalme hawa inapaswa kuandikwa katika mzunguki yaani ndani ya mduala. Wafalme wanao tawala katika robo 4za mashariki,magharibi,kaskazini na kusini hawataki kuitwa hovyo hovyo isipokuwa katika matukio makubwa. Mzunguko wa pentagramu utakao utumia wewe kushika or kukaa kama unae muita una muita porini unapaswa kuwa na miguu 9 mpaka 10,na majina ya malaika 4yapaswa kuandikwa kuzunguka mduala Wako. Hizi ni baadhi tu ya ELIMU ambayo unapaswa kujua jinsi ya waitaji wa majini na sio kila jini eti anatoa utajiri au pesa kwanza tambua ukumuita jini wakike jua ni m