Posts

ELIMU YA MAJINI HII HAPA....¡¡!!

*ELIMU YA JINI SHIVA*    unajua kuna watu wanapenda sana ,kuita majini na viumbe lakini hawajui ama atujui jinsi ya kumu hendo jini ipasavyo kwanza kabisa tambua kuna moones hii ni kwaajiri ya kufanya kazi yako vizuri kabsa na katika masiku haya basi jua jini Wako atakuja haraka sana kwanza mwezi ukiwa umechomoza una siku 2,4,6,8,10,12 or 14 kama Salomon anavyo sema ,na hakuana siku nyengine zaidi .       Mihuri ya wafalme hawa inapaswa kuandikwa katika mzunguki  yaani ndani ya mduala.     Wafalme wanao tawala katika robo 4za mashariki,magharibi,kaskazini na kusini hawataki kuitwa hovyo hovyo isipokuwa katika matukio makubwa.    Mzunguko wa pentagramu utakao utumia wewe kushika or kukaa kama unae muita una muita porini unapaswa kuwa na miguu 9 mpaka 10,na majina ya malaika 4yapaswa kuandikwa kuzunguka mduala Wako.       Hizi ni baadhi tu ya ELIMU ambayo unapaswa kujua jinsi ya waitaji wa majini na sio kila jini eti anatoa utajiri au pesa kwanza tambua ukumuita jini wakike jua ni m

MAAJABU YA SURAT YASINI NO 3

Image
*MAJABU YA SURAT YASINI NO3* Yasini bana nimeamini kuwa ni mama na ni baba wa Qur'an tukufuh kwa sababu hakuna kazi isio Fanya aiseeh Sasa basi nashukuru mungu kwa kuwa nimeamka swalama Niwape na niwamalizie faida za yasini .... *KUWA RAZIMISHA WATEJA WAJE KUNUNUA KWAKO BILA KUPENDA WAO*    yasini anauwezo wa kufanya mteja anunue pahala wala ajatarajia mfano utakuta "MTU anaenda kununua kitu duka Fulani alafu kufika maeneo Yale roho ikafanya paah ngoja nikanunue pale kwanza anaenda kununua or MTU anapita tu hana wala nia ya kununua kitu lakin akipita anga za yule kwenye mvuto huu baai utakuta mwenyewe anapinda mkono anaenda kununua".  Sasa Hii njia zipo nyingi kwanza kuna za matalasimu na za miti pia kuna za visomo sasa Mimi nitafunza za visomo........      Soma kila siku yasini X3 na Surat waqia X11 baada ya swala ya arfajir dua Hii hifungua liziki kwa kasi sana na ukimudu nayo Hiki kisomo kwa muda wa siku 40 mfululizo hakika utakuwa tajiri wa nafsi na roho yaa

MAJABU YA SURAT YASINI no2.

*MAJABU YA SURAT YASINI no2* Hii ni dua Kali sana na ni kiboko yao Leo nitaeleza jinsi ya baadhi ya aya za sura hii na inavyo Fanya kazi kindaki ndaki kabisa       Siku lililo pita nilifunza jinsi ya kujifungua kama na wachawi or majini haya miaka 100 lakin utafunguka kwa siku moja tu teNA kwamara moja tu na ukiwa na imani ya mungu ,...    Sasa basi jambo LA kwanza ukiitaji *KUZIDISHA BAHATI KWWNYE KAZI ZAKO*   hii ni njia pekee kabisa maana hii unaIdisha bahati kwenye maisha yako yani wew utakuwa unathaminiwa sana na mabosi na utakuwa unapesa mzuri sana ....    Katika kikapu chako cha kutunzia pesa kila siku baada ya swala ya alfajir soma aya ya pili Ya Surat ya sini X100 hakika Mali ZAKO zitazidi kwa njia ya ajabu sana na utapendwa na watu na watu wa mji wako na mji wako utakuwa na baraka zi sizo kuwa na mfano. *JINSI YA KUMTIBU KICHAA* kama una ndugu yako mule or mkee or haya mteja wako ni anaugonjwa wa akili yaani kichaa basi usisite Tina IPO na anapona kabisa wala shaka

MAJABU YA SURAT YASINI no1.

MAAJABU YA SURAT YASINI NO1. Hii ni sura ya albadir dua hii ni kiboko na inafanya kazi zote duniani kasoro kumrudisha Mzee kuwa kijana na kutibu ukimwi lakin maradhisugu mengine yanatibika kwa haraka sana Nini maana ya yasini ? Yasini ni Nina ambalo tukufu na katika watoto ama wajukuu wamitume ndio alikuwa akiitwa yaasin pia yasini anasifa kubwa sana na yasini ni surati kubwa yenye maajabu makubwa maana ukitaka kuisoma arbadiri basi utaiyusisha hii sura kama ukiacha mzumguko WA abjade or wasirat safii or kanjir alshi,jaushen kabiri nk hivi ni baadhi ya vitqbu VYA albadir .......kwanza kabisa ndugu msomaji WA nakara zangu hizi ni Mimi babu bidabida unatakiwa use na imani kubwa sana maana Qur'an ni kinga kama utaweza kuitumia vizuri amini kwanza mungu yupo na unapo soma amin  kuwa maraika na majini wema wanafika hapo na wanakuuliza ni nini unataka kutoka kwa mola wako mlezi ,kwaiyo andaa mahali pa kufanyia kazi yako pawe pasafi sana na mavazi yako yawe masafi sana pia nimetangul

TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU.

Image
*TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU* ukwaju ni mti mzuri sana na unamajina mengi kwa kutokana na pahari sehemu ulipo mfano Ukwaju kwa rugha ya kilatini unaitwa TAMARINDUS, pia ukija kwa wahindu wanamajina yao IMLI, na pia kwa kingereza wanauwita TAMARIND TREE, hizi ni baadhi ya nchi na wanavyo uwita na ukija tz wanauwita UKWAJU,UKWASU,MATE MATAMU,NCHWACHU,SHINK MEREMERE haya ni majina baadhi ya rugha na jinsi wanavyo uwita mti huu wa ukwaju mti wa ukwaju unatumika kwenye kazi nyingi mfano kutoa majini fusho LA majini pia unaingia kwenye zindiko LA kufanya mchawi akiingia apigwe bakora mpaka akome na kazi nyingi sana za kupiga mangu mti huu ni wa bakora yaan mkwaju ni MUAZIBU WANGA ,ila Leo kwa vile mwwzi mtukufu basi tuone kwwnye tiba mkwaju unatumika kwenye KUTIBU maradhi mbali mbali MFANO majani ya ukwaju yanatibu fangasi,kusafisha kibofu cha mkojo,KUTIBU MAUMIVU ya viungo mwilini. MAGOME NA MIZIZ tatzo labkukosa choose,matatzo katika TUMBO,tatzo LA gesi,figo,pamoja na U.T.I b

MIUJIZA YA HABAT SODA KATIKA TIBA.

Image
*Miujiza ya  habat soda katika tiba* habati ni punje nyeusi ndogo inafanana kama ufuta vile. Habati souda inaviin mbalimbali navyo no kabohaidret,mafuta ya asili,na madini mbalimbali ya chuma fosforas,vilevile INA viuma sumu antibiotics vyenye kuangamiza virusi,viin vya maradhi na vijidudu. Pia inanguvu zakiume ,nshart mwilini pia inasafisha mkojo na kutoa sumu na magonjwa yote. JINSI YA KUTIBU MARADHI babu bidabida anasema kuwa habat soda inatibu mara2 zaidi ya asali    KUKOSA USINGIZI chukua habat soda ya unga kijiko kimoja weka katika maziwa glasi moja changanya kunywa.   KURAHISISHA KUZAA hili ni tatzo kubwa na chachu kwa kina mama sasa basi chukua habat soda na asali utapata utapata uchungu na utajifungua salama dawa hii tumia kuramba. MAUMIVU YA MENO NA MAFINDOFINDO. chemsha maji changanya na habat soda ya unga sukutua utapata majibu. CHUNUSI,MADOADOA NA MAFUTA USONI. Chukua habat soda na mafuta ya mzaituni pakaa vizuri wakati wa kulala na ikifika asubui OSHA n

MAJAABU YA UDI WA SHIVAM

Image
NINI MAANA YA SHIVAM?? shivam ni neno la kihindu ambae ni mungu miongoni mwa miungu yao lakin kwa sisi tunaiylta majini miongoni mwamajini wa rugha jini huyu anadoti kwenye paji ra huso pia mkono wake wa kushoto pia kuna doti na shingoni amezungukwa na nyoka na mikononi aina ya cobra nyoka huyo nae ni miongoni mwa majini na kazi yake ni kutoa dawa ya kuweza kushika nyoka bila ya kurumwa sawa eeh. Je anafaida gani jini huyu wa shivam shivam ndio jin mkuu wa kihingmdu ni mwanamke jini huyu lakin jini wa kiume anaitwa SHIVA kwa hakika ukiwa nao majini hawa unauwezo wa kufanya chochote hapa dunian ila ku kuzingatia mira na desturi na mipakaa ya allah / mwenyezi mungu wetu  wahindu wameamua kuutoa udi huu wa shivam na shiva kwa sababu ya kujua kuwa wahindu ni kiboko na pia kuwasaidia katika ibada na somo hili la kuita majin wakizungu na  kihindu nilisha fundsha kwa wale wakongwe sasa basi unafaida gani ukiuchoma hudi huu 1UNARETA UJASIIRI 2AMANI UPENDO 3MUUNGANO 4MVUTO WA PESA ( hii